Recent content by khalfan shaban

  1. khalfan shaban

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Kama ndugu zetu Arse8 kuchukua UEFA labda wakaliibe. Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
  2. khalfan shaban

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Hiyo sahau mkuu, chelsea kazi kazi Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
  3. khalfan shaban

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Kama kawaida Chelsea yazidi kujikita kileleni baada ya ushindi wa jana 2-1, hazard katika ubora wake kuweka goli zote mbili na goli la kufutia machozi likifungwa na Aguero. Congratulation #The_blues
  4. khalfan shaban

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Piga *149*19# kwa mtandao wa Vodacom tuu. M-bet Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
  5. khalfan shaban

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kwani kama umekosa mechi ya Kule anza halaf mechi zingine ukapatia mpaka 8 alaf ukakosa 2 ukapatia 13-15, yaani ninchomaanisha ushindi ukawa sio kufata namba alizoandika haupatii? Lakini zimefika mechi 10 nilizoshinda.
  6. khalfan shaban

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Poa, nimekupata. Lakini mpaka sasa hawajaweka matokeo ya jana bado ya trh 22/12 ambayo kulikuwa na winner mmoja wa 450,200.00
  7. khalfan shaban

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Inaanza na 3-4-3 (kawaida), tukishambulia inakuwa 2-3-5, Tukishambuliwa kawaida 4-3-3, Tukishambuliwa saaana inakuwa 5-4-1, so unapitaje kwa mfano sasa.
  8. khalfan shaban

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Habari ya asubuhi, nauliza M-bet huwa wanaweka matokeo ya perfect 12 baada ya muda gani coz mpaka sasa naona matokeo ya tarehe 22/12/2016 bado ya jana Hamna.
  9. khalfan shaban

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Uko sahihi sana mkuu Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
  10. khalfan shaban

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kwa sasa kati ya mechi 17 mechi 10 nishashinda nasubiria mechi ya newcastal kuchezwa, vp cwezi pata maji mkuu.
  11. khalfan shaban

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ni noooma Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
  12. khalfan shaban

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Duh! Halaf timu alizoweka leo huwa hazitabiriki.
Back
Top Bottom