Recent content by Khaira Ngoda

  1. K

    JamiiForums Tanzania January Makamba hili la Uteuzi wa Bodi ya TANESCO limekufunua mapema sana!!!

    January kitakachokutete ni kufanya kazi kwa vitendo sio Blaablaa Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
  2. K

    JamiiForums Tanzania January Makamba hili la Uteuzi wa Bodi ya TANESCO limekufunua mapema sana!!!

    Kazi ipo katika comment za wengi zinaegemea sana kwenye ushabiki inategemea uko timu gani badala ya kuliteyea taifa wacha tuone Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
  3. K

    JamiiForums Tanzania Je, agizo la Rais Samia Suluhu kufuta kesi zisizo za msingi limepuuzwa?

    Mimi hushangazwa sana hii hali kwakweli kama ushahidi haujakilika kwanini watu wanakamatwa na kuwekwa ndani kwa muda mrefu?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka mwaka 1994 Wazanzibar walivyokasirika Rais wa Zanzibar kuondolewa kuwa Makamu wa Rais wa Muungano?

    Sintuambie tu mbona mnazunguka zunguka tu ndio maana Wakenya tunaambiwa tunaropoka sana Aaa...!
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mnakomaa kupata Tume Huru ya Uchaguzi, mnadhani itawaweka madarakani?

    Nikifikiria kichefu chefu cha tumeccm nasikia kutapika
  6. K

    JamiiForums Tanzania TANZIA Katibu Mkuu Kiongozi, John W. Kijazi afariki dunia

    Yarabii sasa hao niwakubwa je sisi tuliopo huku kajambanani tunakufa wangapi kwa siku?
  7. K

    JamiiForums Tanzania Baba mwenye nyumba hata akiagiza watu wapigwe risasi hadharani bado atapata watetezi tu

    Sàsa hiyo tuiite ni njaa au ufala uliopindukia kama huwezi kujithamini mwenyewe nani atakuthamini?
  8. K

    JamiiForums Tanzania Hukumu inasomwa mbele ya DPP, anatoka nje kuzungumza na waandishi na kueleza watuhumiwa walishaanza kutekeleza hukumu kabla haijasomwa

    Kwakweli Awamu hii tumeshikwa sehemu nyeti inabidi tuwe wapole
  9. K

    JamiiForums Tanzania Chadema itashinda Urais 2020 hata bila TUME HURU

    Tume huru ndio kilochangu Mimi ninaeshinda kwenye foleni na njaa na Kiu mvua na jua halafu mwisho ninakua si mwenye kutoa maamuzi nani kiongozi wangu maamuzi hutolewa na tume ya uchaguzi kwahiyo tangu wanafungua vituo washajua nani atatangazwa mshindi siowangojee ataeshinda ni nani. Sent using...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Polisi: Mzee Philip Mangula amekutwa na sumu mwilini, ni baada ya kufanyiwa uchunguzi

    UNAWEZA TEGA MTEGO WA PANYA KWENYE KIATU CHAKO HALAFU BAADAE UKAJIASAHAU UKAINGIZA MGUU NA MTEGO UKAKUNASA MWENYEWE Sent using Jamii Forums mobile app
  11. K

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi S/Mitaa 2019: Wagombea wa Upinzani asilimia kubwa wameenguliwa kugombea, CCM wengi wapitishwa

    Hakuna afadhali yeyote ,kwani hata kuiba kura pia ni dhulma,tena nibora wametuonyesha mapema ufedhuli wao kuliko tungeenda kupigwa na jua na mvua for nothing.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Aliyeshauri hili la kuvuruga uchaguzi alaaniwe na kizazi chake

    Tunafunika moto na pamba watu wasiuone!!
  13. K

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe aungwe mkono uchaguzi ndani CHADEMA

    Kwa Tanzania hii kumpata mtu kama mbowe nivigumu lakini kumapata mtu kama Magu wako wengi sana mbowe must come back Again.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Dhahabu yetu imepitaje kwetu salama, ikadakiwa Kenya?. Hawa jamaa zetu wanasubiri nini kuwajibika? au ni mpaka kutokee nini ndipo watu wawajibike?!.

    Inatia ukakasi kwani ninavyomjua mkuu asinge subiri kesho wala kesho kutwa lazima angewatumbua watu waliozembea pale pale kwenye makabidhiano, na kama ni kweli Basi Kenya wametujibu kwa dharau, Tanzania tuchomeeni Vifaranga vyetu na ng'ombe zetu na nyinyi tunawaletea dhabu zenu! Kwakua...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Sauti inayodaiwa ni ya Mzee Makamba na Mwanaye January Makamba kuhusu Waraka

    Kama hamjitambui ndio mnawaongezea umaarufu badala ya kuwamaliza, miaka hii balaa kweli kweli naona Mtatoa clip hata za walizoongea na vimada wao mwaka huu
Back
Top Bottom