January Makamba hili la Uteuzi wa Bodi ya TANESCO limekufunua mapema sana!!!

TULIOMBEE TAIFA LINAPITIA KWENYE WAKATI MGUMU SANA TANGU TUPATE UHURU.

UZURI WATANZANIA WANA AKILI YA KUDADAVUA MAMBO,ASANTE SNA JPM KWA KUTUFUNGUA MACHO.

TUTAFATILIA KWA KARIBU MWENENDO WA UMEME NCHINI HIYO BODI NA WAZIRI WAO WAJIPANGE.

TUTAKIWAKISHA.
 
hivi kwanini watu huws wanasema mama kaingizwa mjini? kwani haya mambo hakuyaona, uwezo wa kufikiri kwani mdogo. hebu tuweni serious kidogo
 
Mama ameingizwaje mjini kwani hawajui hao watu au hasomi kama amesini upupu hilo ni lake

Kwenye kijiwe cha gahawa hapa mwembe togwa wakaja wale the commedy wanaojitembeza barabarani wakiwa wamepaka masizi na vitambi vya malapulapu na sagurasagura.

Wanakijiwe wakajichanga ili wapate burudani ya kucheka kidogo kwa ajili ya afya.

Mmoja wa wachekeshaji akanza na kitendawili. Hivi...kitendawili wakaitikia tega. Nipe jina la nchi hapa duniani ambayo uteuzi wa bodi ya wakurugenzi unajazwa na majina ya timu ya kampeni. Hadi naondoka hapo walikuwa wanampa mji jamaa ili awapatie jibu.
 
Hasira za nini upo kwenye payroll ya Makamba..

Mtoa hoja anaongelea Tanesco ya watanzania wote, Chato hawaruhusiwi kuiongelea Tanesco…kila mtu anaeona ukakasi kwenye teuzi anatoka Chato..hii ndio cheap politics unayohubiri hapa…

Ushahidi wa nini unaotaka wewe Maajar hujui km aliwakilisha Dowans…mtu akishapoteza trust kwa anawaongoza anakaa pembeni huo ndio uongozi, wapo wengi wenye uwezo kwani huko Tanesco hakuna madirector wanaoweza kupandishwa vyeo wakawa maDG…watu bungeni wameisha wanaoweza kuongoza hio wizara…

Jibu kwa hoja sio matusi maana naona mtoa hoja kagusa mshono…yote haya tunafanya kwa ajili ya Tanzania yetu…hata Makamba akitoka bado utafaidika tu..anaetoa riziki ni mmoja..
.....Mungu peke yake.
 
Katika miaka yake mitano umesikia kelele yoyote tanesco? Au nyie ndo wale mnaoheshimu madanga ya wake zenu?
danga la mama ako liko sukuma gang nn.hakukua na kelele kwa sababu vyombo vya habari na democrasia viliminywa.sasa watu mpo huru ndo maana ukishiba ugali wa shemeji ako unakuja kuropoka humu
 
Ndugu zangu Watanzania penye ukweli lazima tuseme hii Nchi ni yetu sote si ya watu fulani tu na siyo kwamba wengine wamekuwa Watanzania by default!

Nimeona nitoe mtazamo wangu ambao ninao kuhusu huu uteuzi wa January Makamba ktk Bodi ya TANESCO.

Kwanza Watanzania tukumbuke kuwa Wizara ya Nishati ndiyo imekuwa "Cash Cow" ya wapigaji/mafisadi kwa miongo kama miwili hivi!

Skendo zote kubwa kama Richmond,Dowans,Escrow n.k ni hapa.

Hata Rais Samia nadhani "ameshauriwa" vibaya sana kumtoa aliyekuwa DG wa TANESCO Dr.Tito Mwinuka na kumuweka Maharage Chande!

Rais Samia na January Makamba muda wote watambue kuwa suala la Umeme kwa Watanzania ni nyeti sana na si sawa na usambazaji wa visimbuzi vya Multichoice alivyokuwa akifanya Maharage Chande!

January Makamba amesukumwa zaidi na urafiki na "malengo yake ya baadaye" katika uteuzi huu!

Nehemiah Mchechu alipata tuhuma kubwa sana (tena toka kwa Rais Magufuli) kwa kujipa tenda za NHC) kupitia kampuni zake akiwa yeye DG pale! Amejisafisha lini na wapi?!

Balozi Maajar, huyu mama ndo aliwakilisha(kupitia kampuni yao Rex Attorneys) "wapigaji" wa TANESCO katika kesi za kimataifa!

January umeweka kwenye Bodi wafanyabiashara wakubwa ambao hawawezi kuwa think tank wa Nishati kwa Taifa hili!

TANESCO sasa inaongozwa na "Watuhumiwa" kuanzia Waziri January Makamba hadi wajumbe wa Bodi.

Hapa sio siri January Makamba umeonyesha uwezo mdogo wa uongozi unaofichwa na ambao wengi hawataki kuusikia!

January Makamba tunakutaka utengue mara moja hii Bodi yako ya hovyo na uunde Bodi madhubuti kwa maslahi ya Taifa hili na si kwa maslahi yenu wachache na "wapigaji" wenu!

Pia mshauri Rais Samia atafute DG anayeweza kum_ replace Dr.Tito Mwinuka kama issue ilikuwa ni kumtoa pale.
Vinginevyo January Makamba JIUZULU kwani hii Nchi ni ya Wananchi wote na si ya Viongozi pekee!

Na kama hii ndiyo strategy yako kwa "malengo ya baadaye" utafeli " big time"!
Hao wajumbe wa Bodi kashauriwa na Vasco Da Gama, wote ni maswahiba wa huyo Mzee aliyependa kuzurura Duniani kama mshamba wa wapi sijui.

Tunapitia wakati mgumu kuliko kipindi chochote, that's why nilimuelewa sana JPM, angalau JPM alikuwa na guts za kuwatandika watu ambao Nonsense.
 
Acha WIVU wa kike. JANUARY MAKAMBA SONGA MBELE!

Upo sahihi, Mhe January wee songa mbele, kuna sehemu vijana waliwekwa na kuondoa wazee, yaani wazalendo wenye sifa as a result mashirika na agencies nyingine hazikwenda sawa! Wazalendo kama Mhandisi Omari Isa ni wachapakazi wa kuaminika, ni kundi la wazee wenye experience kubwa na kitaifa na kimataifa! Nakumbuka kuna kipindi Prof Mbarawa alitembelea shirika fulani la umma akakuta management imewafukuza kazi wazee wenye sifa na shahada zaidi ya moja wakawabakiza (vilaza) kazini, yaani wafanyakazi ambao hawakuwa na sifa, sasa Mhe Makamba kaanza from the top kurudisha wataalamu (washauri) muhimu kwenye shirika na umma!!
 
Hasira za nini upo kwenye payroll ya Makamba..

Mtoa hoja anaongelea Tanesco ya watanzania wote, Chato hawaruhusiwi kuiongelea Tanesco…kila mtu anaeona ukakasi kwenye teuzi anatoka Chato..hii ndio cheap politics unayohubiri hapa…

Ushahidi wa nini unaotaka wewe Maajar hujui km aliwakilisha Dowans…mtu akishapoteza trust kwa anawaongoza anakaa pembeni huo ndio uongozi, wapo wengi wenye uwezo kwani huko Tanesco hakuna madirector wanaoweza kupandishwa vyeo wakawa maDG…watu bungeni wameisha wanaoweza kuongoza hio wizara…

Jibu kwa hoja sio matusi maana naona mtoa hoja kagusa mshono…yote haya tunafanya kwa ajili ya Tanzania yetu…hata Makamba akitoka bado utafaidika tu..anaetoa riziki ni mmoja..
Lete nyaraka kuonesha aliwakilisha Tanesco!

Mnatunga mambo yenu hapa alafu mnajifanya wajuaji kumbe wajinga tu
 
Heeh yeye mwenyewe tu January aliwahi kusema huyo mama hafai na akamshangaa JK ilikuwaje akamteua balozi ikiwa aliisaidia kuiibia Tanesco
 
Ndugu zangu Watanzania penye ukweli lazima tuseme hii Nchi ni yetu sote si ya watu fulani tu na siyo kwamba wengine wamekuwa Watanzania by default!

Nimeona nitoe mtazamo wangu ambao ninao kuhusu huu uteuzi wa January Makamba ktk Bodi ya TANESCO.

Kwanza Watanzania tukumbuke kuwa Wizara ya Nishati ndiyo imekuwa "Cash Cow" ya wapigaji/mafisadi kwa miongo kama miwili hivi!

Skendo zote kubwa kama Richmond,Dowans,Escrow n.k ni hapa.

Hata Rais Samia nadhani "ameshauriwa" vibaya sana kumtoa aliyekuwa DG wa TANESCO Dr.Tito Mwinuka na kumuweka Maharage Chande!

Rais Samia na January Makamba muda wote watambue kuwa suala la Umeme kwa Watanzania ni nyeti sana na si sawa na usambazaji wa visimbuzi vya Multichoice alivyokuwa akifanya Maharage Chande!

January Makamba amesukumwa zaidi na urafiki na "malengo yake ya baadaye" katika uteuzi huu!

Nehemiah Mchechu alipata tuhuma kubwa sana (tena toka kwa Rais Magufuli) kwa kujipa tenda za NHC) kupitia kampuni zake akiwa yeye DG pale! Amejisafisha lini na wapi?!

Balozi Maajar, huyu mama ndo aliwakilisha(kupitia kampuni yao Rex Attorneys) "wapigaji" wa TANESCO katika kesi za kimataifa!

January umeweka kwenye Bodi wafanyabiashara wakubwa ambao hawawezi kuwa think tank wa Nishati kwa Taifa hili!

TANESCO sasa inaongozwa na "Watuhumiwa" kuanzia Waziri January Makamba hadi wajumbe wa Bodi.

Hapa sio siri January Makamba umeonyesha uwezo mdogo wa uongozi unaofichwa na ambao wengi hawataki kuusikia!

January Makamba tunakutaka utengue mara moja hii Bodi yako ya hovyo na uunde Bodi madhubuti kwa maslahi ya Taifa hili na si kwa maslahi yenu wachache na "wapigaji" wenu!

Pia mshauri Rais Samia atafute DG anayeweza kum_ replace Dr.Tito Mwinuka kama issue ilikuwa ni kumtoa pale.
Vinginevyo January Makamba JIUZULU kwani hii Nchi ni ya Wananchi wote na si ya Viongozi pekee!

Na kama hii ndiyo strategy yako kwa "malengo ya baadaye" utafeli " big time"!
HAHAHAHAAAA MTAMISI 10PERC ZA DC
RELAX KILA DHANA NA BARAKA ZAKE MMEKULA VYA KUTOSHAA SUBIRINI WENGINR WATEULIWE WALE TULIZA MZUKA
 
Kama kuwa na tuhuma tu ndo kigezo cha kujiuzuru Mbona Magufuli alikuwa na tuhuma ya kuuza nyumba za Serikali hadi Kwa hawara yake na akawa Rais na ukamuunga mkono humu??

Chuki zako na uzandiki wako dhidi ya January usiuhalalishe kwa cheap politics!

Kama una ushahidi dhidi ya hao kwa nini hujawai peleka polisi Au pccb ikiwemo kipindi cha mungu wako Magufuli?

Pelekeni ujinga wenu kwenu chato
mwelezee huyu boya
 
Ndugu zangu Watanzania penye ukweli lazima tuseme hii Nchi ni yetu sote si ya watu fulani tu na siyo kwamba wengine wamekuwa Watanzania by default!

Nimeona nitoe mtazamo wangu ambao ninao kuhusu huu uteuzi wa January Makamba ktk Bodi ya TANESCO.

Kwanza Watanzania tukumbuke kuwa Wizara ya Nishati ndiyo imekuwa "Cash Cow" ya wapigaji/mafisadi kwa miongo kama miwili hivi!

Skendo zote kubwa kama Richmond,Dowans,Escrow n.k ni hapa.

Hata Rais Samia nadhani "ameshauriwa" vibaya sana kumtoa aliyekuwa DG wa TANESCO Dr.Tito Mwinuka na kumuweka Maharage Chande!

Rais Samia na January Makamba muda wote watambue kuwa suala la Umeme kwa Watanzania ni nyeti sana na si sawa na usambazaji wa visimbuzi vya Multichoice alivyokuwa akifanya Maharage Chande!

January Makamba amesukumwa zaidi na urafiki na "malengo yake ya baadaye" katika uteuzi huu!

Nehemiah Mchechu alipata tuhuma kubwa sana (tena toka kwa Rais Magufuli) kwa kujipa tenda za NHC) kupitia kampuni zake akiwa yeye DG pale! Amejisafisha lini na wapi?!

Balozi Maajar, huyu mama ndo aliwakilisha(kupitia kampuni yao Rex Attorneys) "wapigaji" wa TANESCO katika kesi za kimataifa!

January umeweka kwenye Bodi wafanyabiashara wakubwa ambao hawawezi kuwa think tank wa Nishati kwa Taifa hili!

TANESCO sasa inaongozwa na "Watuhumiwa" kuanzia Waziri January Makamba hadi wajumbe wa Bodi.

Hapa sio siri January Makamba umeonyesha uwezo mdogo wa uongozi unaofichwa na ambao wengi hawataki kuusikia!

January Makamba tunakutaka utengue mara moja hii Bodi yako ya hovyo na uunde Bodi madhubuti kwa maslahi ya Taifa hili na si kwa maslahi yenu wachache na "wapigaji" wenu!

Pia mshauri Rais Samia atafute DG anayeweza kum_ replace Dr.Tito Mwinuka kama issue ilikuwa ni kumtoa pale.
Vinginevyo January Makamba JIUZULU kwani hii Nchi ni ya Wananchi wote na si ya Viongozi pekee!

Na kama hii ndiyo strategy yako kwa "malengo ya baadaye" utafeli " big time"!
Kwani ni lini Makamba aliwahi kuwa na uongozi bora?

Makamba na Nape ni watu wa hovyo kuwahi kutokea hapa nchini.

Bila kuiondoa ccm tutalalamika hadi makoo yetu yakauke bila mafanikio.
 
agreed
 
Back
Top Bottom