Recent content by khadija maftah

  1. khadija maftah

    JamiiForums Tanzania Wasanii gani kutumbuiza ziara ya obama dar???

    Acheni ujinga mmekalia uhayawani tuu,hapa tulipo tushauzwa na sisi kilichobaki ni kutumikishwa tuu.
  2. khadija maftah

    JamiiForums Tanzania Msanii Ben POL kushtakiwa kuiba nyimbo ya msanii wa amerika, na yeye kuita JIKUBALI

    Hakuna muziki sahivi ni kuigana tuu,mambo yote watu wameshaimba sa waimbe nini,
  3. khadija maftah

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji wazidisha masharti ya kutoa ‘pasipoti’ kwa vijana

    Bila hela hupati kitu ndo nchi yetu hii tufanye nini sasa,inabidi tuwe wapole lakini ipo siku tuu mungu atawaumbua.
  4. khadija maftah

    JamiiForums Tanzania Hivi ukitongoza lazima ukubaliwe?

    Si lazima kwani inategemea na mtu aliyekutongoza,
Back
Top Bottom