Recent content by kfhirji

  1. K

    Beating the Drum on One Side: Confusing the People on Both Sides

    Ningependa kutoa historia fupi ya kibinafsi Mwaka 1969: Mimi, Karim Hirji, nilikuwa Mhariri Mkuu wa jarida la wanafunzi wa UDSM liitwalo CHECHE. Tuliunga mkono siasa ya ujamaa lakini tulisema ukweli kuwa utekelezaji wake na TANU ilikuwa mbaya sana. Wazee wa TANU walikasirika sana na Jarida letu...
  2. K

    Beating the Drum on One Side: Confusing the People on Both Sides

    Kuhusu Mau Mau au Maji Maji Hataa Profesa anaweza kufanya kosa la kitoto. Kwa haraka niliandika Mau Mau lakini maana yangu ilikuwa Maj Maji. Na omba msamaha kwa wasomaji wangu kwa kosa hilo. Kosa kadogo kama hilo haliwezi kupindua logic na ukweli wa makala mzima. Ni wale ambao hawataki...
  3. K

    Beating the Drum on One Side: Confusing the People on Both Sides

    na omba msamaha wenu. Haata profesa anaweza kufanya kosa la kitoto. Maana yangu ilikuwa maji maji lakini kwa haraka niliandika mau mau. Lakini kosa dogo kimoja kama hilo haliwezi kupindua logic na ukweli wa makala mzima. Ni wale ambao hawataki kufikiria mambo kwa kiundani ndiyo watayanganganyia...
  4. K

    Beating the Drum on One Side: Confusing the People on Both Sides

    As the author of the article being discussed, I would like to make a few important corrections and points: 1. There was an unfortunate typographic error; in haste I wrote Mau Mau instead of Maji Maji. I apologize for this error on my part. 2. The version of my article on this website is an...
Back
Top Bottom