Recent content by Keyser Söze

  1. K

    Kwaheri NMB

    NMB ya wapi tena? , nimetoa hela kwa wakala saa 5 na pia nimehamisha hela saa 8 kwenda M-Pesa na zote zinafanya kazi. Huku kote nimemtumia app yao.
  2. K

    PostGE2025 WARNING:⚠️Namna Serikali inavyowakamata Wanaotuma picha Za Mauaji Mtandaoni: Na jinsi unaweza kujilinda

    Kwa matumizi ya baadae na pia kulinda ushahidi, usitoe Metadata kama una piga picture / video za kurekodi matukio yatakayohitaji verification. Picha au video ikiwa kwenye simu yako haina shida, ukituma kwenye social media huwa inaziondoa hizo data so don't worry sana.
  3. K

    KERO Nimebolt Bajaj kutoka Aiport Dar to Lugalo nauli imekuja tofauti

    Yenye utata kivipi? Wewe kwenye simu yako si nimeleta bei baada ya safari kuisha? Hiyo ndio bei unayotakiwa kulipa. Hapa naongelea bei BAAADA ya safari, sio ile ya mwanzo wakati una request. Sometimes bei bei hubadilika kutokana na foleni etc.
  4. K

    KERO Nimebolt Bajaj kutoka Aiport Dar to Lugalo nauli imekuja tofauti

    Kama safari umefika mwisho, app huwa inakuletea bei ya hiyo safari. Hiyo ndio nauli unayotakiwa kulipa. Huyo dereva anakuchezea mchezo hapo, si ajabu ni screenshot ya safari nyingine anataka kukupiga.
  5. K

    SI KWELI NHIF imetoa mkataba kwa shirika binafsi BABULEO LTD kufanya usajili wa Bima kwa watoto walio chini ya miaka kumi na nane

    Hii si kweli. Barua yenyewe ina makosa kibao ya kiuandishi. Pia usajili wa sasa wa NHIF unafanyika online.
  6. K

    Tanzania tunakwama wapi? Milion 1 ya Kenya ni sawa milion 20 ya Tanzania, haya ni maajabu

    Imeongelewa nyama choma kwenye mgahawa kiazi wewe! Ni mgahawa gani utapata nyama choma na ugali kwa 10k?
  7. K

    Tanzania tunakwama wapi? Milion 1 ya Kenya ni sawa milion 20 ya Tanzania, haya ni maajabu

    Sasa mkuu unataka kuwadanganya Akina nani? Watanzania? Chukua elfu 10 kanunue ugali na nyama choma! Kwa sababu tu kitu imeandikwa kiingereza unaona kina maana, hiyo kawadanye wajinga wenzio. Sisi tupo kwa ground na hiyo 10k haifanyi chochote
  8. K

    Watanzania acheni chuki kwa mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) sheria za kodi hutungwa na bunge. TRA ni wasimamiaji tu

    Seriously? kwamba hawahusiki? Yule dada wa kikokotoo aliyesimamishwa na magu alikuwa wapi? sheria ya bima ya afya kwa wote ilitoka wapi na aliyekuwa ana push ni nani? sheria ya habari na makosa ya mtandao iliyopita kipindi cha Nape ilitoka wapi na aliyekuwa anaipigia chepuo ni nani?
  9. K

    Watanzania acheni chuki kwa mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) sheria za kodi hutungwa na bunge. TRA ni wasimamiaji tu

    Kwa TZ na nchi nyingi ukiangalia miswada mingi huwa inatoka kwenye idara/taasisi zinazohusika, so TRA wanahusika moja kwa moja kwenye hizi sheria, hawawezi kuwepa hili kwa 100%
  10. K

    Watanzania acheni chuki kwa mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) sheria za kodi hutungwa na bunge. TRA ni wasimamiaji tu

    Siyo duniani mkuu, hii sana sana inatoka nchi za africa. Nchi nyingi zinazojitambua serikali ikileta muswada usiofaa wabunge wanakataa. Na pia mbunge naruhusiwa kuandika muswada wake na kupeleka bungeni ukajadiliwa na kupitishwa kuwa sheria
  11. K

    Watanzania acheni chuki kwa mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) sheria za kodi hutungwa na bunge. TRA ni wasimamiaji tu

    Mleta mada upo Tanzania au nchi nyingine? Ni bunge lipi linatunga sheria? Kwenye karatasi ndio bunge inatakiwa kutunga sheria, ila kwa hili la wamu hii hapana. Serikali inapeleka muswada bungeni unapita na kuwa sheria bila hata kubadilishwa nukta. Sasa hapo utasema vipi bunge linatunga sheria...
  12. K

    GE2025 Wananchi wa Bumbuli wachinja ng'ombe kusherehea January Makamba kukatwa

    Watanzania wajinga sana! Sasa wanashangilia nini? Maana kama kumtoa si wao waliomtoa, na pia hajatolewa kwa sababu ya performance yake kuwa mbaya Bali kwa sababu tu ya yeye kutofautiana na wakuu wake. Angepitishwa na kamati bado angekuwa mbunge hata kama wananchi hawamtaki. Tupiganie reforms ili...
Back
Top Bottom