Recent content by kevoomarcus

  1. kevoomarcus

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia, tafadhali waongezee mishahara polisi, bila polisi Dar es Salaam leo ingekuwa majivu

    Habari yako ni ya uongo , mauaji ya rwanda yalikuwa ya kikabila na sio dini
  2. kevoomarcus

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Mungu: Nimeiombea "graphics card" mbovu - imepona!

    Watu wanamlilia uyo mungu awape chakula watoto wa sio na hatia uko Gaza kumbe ye yupo bize huku ana fix GPU😂
  3. kevoomarcus

    JamiiForums Tanzania Mungu yupo, kuna watu wanabisha kuwa yupo

    Comment of the day , mungu anajitekenya na kucheka mwenyewe😂
  4. kevoomarcus

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Dakika zaidi ya 210 wameshindwa kufunga goli moja Celtic na mwenzake wamecheza masaa matatu kutoka 0-0😂
  5. kevoomarcus

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Dakika zaidi ya 210 wameshindwa kufunga goli Moja😂
  6. kevoomarcus

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    🔥🔥🎉🎉🎉🥳
  7. kevoomarcus

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Dah aisee betting 😭
  8. kevoomarcus

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    " In the long run house will win"kweli nimeanza kuuelewa huu msemo
  9. kevoomarcus

    JamiiForums Tanzania Msaada kwenye tuta

    Itume tenà afu delete for everyone
  10. kevoomarcus

    JamiiForums Tanzania Kama Mungu hayupo, maisha yana maana gani? Na kama yupo, kwanini Dunia inateseka hivi?

    Mungu ni dhana iliyotungwa na wanadamu
  11. kevoomarcus

    JamiiForums Tanzania Kama Mungu hayupo, maisha yana maana gani? Na kama yupo, kwanini Dunia inateseka hivi?

    Mungu yupi hapa mnamuongelea jamani kati ya 5000 wanaoabudiwa🤔 duniani kote . Mtu anayetetea mungu yupo ni muoga anaogopa kuchomwa moto😂 . Wote tumezaliwa tukaaminishwa hizo mambo ni kama tamaduni tu na mazoea, ungezaliwa India ungekua mhindu , china ungekua atheist au Buddhist Japan ungekua...
  12. kevoomarcus

    JamiiForums Tanzania Maeneo matatu ambayo Mungu amekuepusha, ili Utimize ndoto zako

    Ko hautokuja kuumwa Wala kufa🤔 Yani hizo Imani zenu bhn😂. Hao ambao wako gerezani vipi? Mungu hajawalinda?
  13. kevoomarcus

    JamiiForums Tanzania Utabiri wa uhakika: hawa ndio watakuwa mabingwa mbalimbali wa ulaya kuanzia uefa,europa comfarance league ikiwa mechi zimesalia chini ya nne had moja

    Napoli bingwa , ànatakiwa ashinde mechi zake 3 awe bingwa. Wala hategemei matokeo ya inter , inter ndo anategemea Napoli apoteze, ko kama Kila mtu ashinde zake basi Napoli bingwa . La Liga bingwa tayri Barcelona anahitaji pointi 3 tu katika mechi tatu zilizobaki
Back
Top Bottom