Recent content by kevoo 27

  1. K

    KERO Miezi mitatu nafuatilia Passport mpya, napigwa kalenda tu, ni kweli UHAMIAJI mmeishiwa material ya kuprinti Passport mpya?

    Kupata Passport ni kimbembe. Mm nilifatilia huku mkoani kwangu nikaferi afisa mmoja akanimbia tafuta 350 ukija dar nicheki wiki 1 tu unapata. Nikaona ngoja kwanza nitafute nauli
  2. K

    David Kafulila anakumbukwa na wakulima wa Simiyu kwa kupaisha bei ya Pamba kufikia Tsh. 2200 kwa kilo katika historia ya Taifa letu alipokuwa RC

    Kwa yoyote anayehusika na kupanga wajaribu kuliangalia hili swala la bei, kwa sasa hivi maeneo ya mwandoya wageni ni wengi, gesti zinajaa maeneo ya vyakula watu wanafanya bishara ukiuliza utaambiwa wamekuja kununua pamba, kwa nini bei isipande ili mkulima apate angalau kifuta jasho??
  3. K

    David Kafulila anakumbukwa na wakulima wa Simiyu kwa kupaisha bei ya Pamba kufikia Tsh. 2200 kwa kilo katika historia ya Taifa letu alipokuwa RC

    Sijatembea maeneo mengi ya nchi hii ila kwa yale machache niliyofika Simiyu ni moja wapo, Simiyu ni sehemu ambayo mkulima wa pamba, mahindi, alizeti, choroko,dengu, mbaazi na mtama mwekundu anahitaji msaada mkubwa sana kwenye swala la bei, wakulima hawa wanalima kwa moyo sana ila linapokuja...
  4. K

    Biashara ya mazao Oman

    Kama unazo nyingi jaribu kwenye viwanda vya vyama unaweza ukapata pakuazia, au viwanda vya soseji maana niliona uganda kuna soseji za nyama ya bata.
  5. K

    Nahitaji kunde, maharage, choroko na Njungumawe kwa bei ya jumla

    Choroko zipo , mpaka sasa kuna tani 50 kama upo serious ñicheki inbox zimechekechwa hazina mchanga wala uchafu
  6. K

    Plot4Sale Kiwanja Nyashishi, Mwanza

    Kiwanja nakiuza mil 5( maongezi yapo) Ukubwa wake ni hatua za miguu 25 upana, 25 urefu. Kipo Nyashishi nyuma ya Mwabebeya shule ya msingi, documents zilizopo ni karatasi ya serikali ya mtaa Bado hakijapimwa, umeme upo. Kutoka barabara kubwa mpaka kwenye kiwanja kwa boda boda ni elf 1000...
  7. K

    Nahitaji kuanza biashara ya maharage. Mwenye uzoefu wa masoko na changamoto zake anijuze

    Wazo zuli, lakini maharage yana aina tofauti tofauti lazima uangalie unataka kuuza maharage ya aina Gani? Na utaka kuuza kwa level ipi?? Jumla au reja reja
  8. K

    Plot4Sale Nauza kiwanja cha Nyashishi-Mwanza

    Hiyo ni ofa yangu njoo na ofa yako, ndy tutajua kama ni shamba au kiwanja
  9. K

    Plot4Sale Nauza kiwanja cha Nyashishi-Mwanza

    [emoji3167]‍🦯[emoji3167]‍🦯[emoji3167]‍🦯[emoji3167]‍🦯
  10. K

    Plot4Sale Nauza kiwanja cha Nyashishi-Mwanza

    Cha buhongwa siuzi
  11. K

    Plot4Sale Nauza kiwanja cha Nyashishi-Mwanza

    Hiyo barabara niya mtaa imepita mbele ya kiwanja
Back
Top Bottom