Recent content by KEUZ

  1. K

    Squirting ni kwa baadhi ya wanawake au wote?

    Nilisoma makala moja wanasema sio wote na wanasema ule sio mkojo, ni uteute flani hivi. Na wanasema sio kwamba akikojoa hivyo ndio amefika kileleni. Wapo wanaokuwa ndo wamefika kileleni lakini wapo ambao wanakuwa hawajafika kileleni na wapo ambao wanakuwa walishafika kileleni.
  2. K

    GE2020 EXCLUSIVE: Maswali kwa Mgombea Urais wa JMT, Tundu Lissu kutoka kwa Watanzania watumiao mitandao ya kijamii

    Mheshimiwa. 1. Mnaona mna mikakati yoyote ya kuweza kudhibiti hujuma za kuanzia upigaji kura na matokeo ya kila ngazi ? Kama ipo inaweza kuelezeka ? Maana tunaona hujuma ni nyingi sana 2. USHAURI Kwa siku zilizobaki, hakikisheni wagombea wenu wanalindwa na umati mkubwa wa watu jasiri sana...
Back
Top Bottom