Recent content by kerries

  1. K

    Yani nimekasirika kinomaa. Wanawake acheni hii tabia

    wewe ni mwanaume kweli! au? hiyo kazi yako sio' muda mrefu utaachishwa kwa tabia zako za ushoga" Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
  2. K

    Nahitaji mwanamke;

    aisee nadhani huyo atanifaa kwanza atakua anajua swala la usafi
  3. K

    Nahitaji mwanamke;

    Mimi ni mwanaume ambae ni 40+ na,-45 hivyo kwa alie tayari tuwasiliane ili tukubaliane
  4. K

    Wenye madeni makubwa na hatujui tutayamalizaje tuliwazane hapa

    na maanisha kwamba nimetembelea maeneo ya Ifakara minepa nimeona kilimo hicho maarufu kinaitwa Ngapa kwa nilivyoona kina gharama zaidi ya hicho kiasi ulichoweka lakini sio issue mimi nina kama m1 ni pm niipate namba yako nikutafute
  5. K

    Wenye madeni makubwa na hatujui tutayamalizaje tuliwazane hapa

    huo mpunga wa kupandikiza kwa gharama hiyo unalimwa maeneo gani mkuu
  6. K

    Wenye madeni makubwa na hatujui tutayamalizaje tuliwazane hapa

    aisee hebu unipatie mbinu ya hiyo biashara ya kuweka pesa ktk "FOREX TRADE" maana najitahidi kuifuatilia lakini sielewi kitu hebu nipe maujanja"
  7. K

    Jifunze kitu hapa - TRUE STORY

    aisee naona kama umeniandikia mimi"
  8. K

    Watoto wa Kiume waliozaliwa kati ya mwaka 1986 hadi mwaka 2000 ndiyo wanaongoza Kufua Chupi za Wapenzi wao na Kupigwa pia!

    hii post vip mbona haijai kwa uchangiaji mada kwa kasi' kwa hiyo kama ni utafiti wa awali basi umefanikiwa kwa % zaidi ya 80
  9. K

    Watoto wa Kiume waliozaliwa kati ya mwaka 1986 hadi mwaka 2000 ndiyo wanaongoza Kufua Chupi za Wapenzi wao na Kupigwa pia!

    aisee kwa hiyo' wewe ni miongoni ya waliozaliwa kati ya miaka 1986 na 2000'
  10. K

    Napitia katika changamoto kubwa

    pole dada yangu Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom