Recent content by Kenny Onney

  1. K

    Msaada jamani

    Sheria inayoyataka makampuni ya uma (public companies) kulist hisa zake DSE ni ipi.?
  2. K

    Msaada jamani

    WanaJF naombeni msaada wenu, ni sheria gani inayoyataka makampuni yote nchini kuorodhesha share zake DSE..? Ntafurahi zaidi mkinasaidia na possible sections za hiyo sheria. Asanteni.
  3. K

    Seminary boarding kwa waschana

    St. Joseph Girls Seminary. Mwanza, karo ni 1.2
  4. K

    SUA ni kama juventus.

    Tuache ushabiki kwa kuwa tumesoma chuo fulani, ukweli ni kwamba wanafunzi wengi wanaodahiliwa sua ni wenye ufaulu wa division two ama three kwa course zote kwani wanaofaulu vizuri sana kwa masomo ya sayansi huwakuti sua kama ni pcb wenye division one wapo muhimbili na kwingineko wakisoma...
  5. K

    Karibu Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine, Morogoro

    Tuache ushabiki kwa kuwa tumesoma chuo fulani, ukweli ni kwamba wanafunzi wengi wanaodahiliwa sua ni wenye ufaulu wa division two ama three kwa course zote kwani wanaofaulu vizuri sana kwa masomo ya sayansi huwakuti sua kama ni pcb wenye division one wapo muhimbili na kwingineko wakisoma...
  6. K

    Ubora wa degree za uhasibu maofisini

    Acha kuongopea uma ww.. Huna aibu kusema utouh ni std seven..? Hujui lizungumziwalo, hiyo ni taaluma kubwa sana na si kila mtu anaweza fanya accounting ama auditing..
  7. K

    Ubora wa degree za uhasibu maofisini

    Yaishe wadau naona hakuna mwenye jibu la kueleweka.. Lets end up this discsn
  8. K

    Ubora wa degree za uhasibu maofisini

    By perry I heard watu wanaipa promo BAF ya mzumbe kuliko bcom za udsm.. Tutoe honest answers jamani coz kna watu tutafanya choices kulingana na majibu yenu.. Tusitetee vyuo vyetu.. Swali langu linalenga kujua wepi ni more marketable?
  9. K

    Ubora wa degree za uhasibu maofisini

    Owky kk... But wanaeza kuwepo waajiri ambao sio wahasibu wakatoa honest answers..
  10. K

    Ubora wa degree za uhasibu maofisini

    Jamani wana JF nataka kujua ubora wa wahasibu na maauditor kutoka vyuo vyetu vya hapa nchini.. Ni chuo kikuu kipi hapa nchini kinatoa vijana wazuri zaidi kwenye idara hizo jamani?
Back
Top Bottom