Recent content by kenny mtanashati

  1. kenny mtanashati

    JamiiForums Tanzania Kuna wanawake ukilala nao wana Nyota Kali sana, lazima upate hela

    Kuna mwanamke unaweza kukutana nae MAISHANI akawa kama Baraka kwako, Yaani Milango ya Fursa inafunguka Hadi unajiuliza hii ni nini, BINAFSI nakumbuka nimewahi kudate na Mwanamke ambaye Hadi nilikuwa Nashangaa. Yule mwanamke alikuwa na NYOTA vibaya mno, UKIMPA 10,000 , jiandae kupata deal la...
  2. kenny mtanashati

    JamiiForums Tanzania Nimempenda jirani yangu, nifanyeje?

    😀😀😀😀
  3. kenny mtanashati

    JamiiForums Tanzania Israel imeanzisha mashambulizi ya kulipiza kisasi nchini Iran muda huu

    Israel inaishambulia Iran muda huu kama kujibu mashumbulizi ya iran ambapo, chombo Cha habari cha Israel cha chanel 14 kimeripoti kuwa milipuko ya mabomu imesikika muda huu nchini Iran katika jiji la Tehran
  4. kenny mtanashati

    JamiiForums Tanzania Nimempenda jirani yangu, nifanyeje?

    Wadau Kuna pisi moja Kali sana aisee demu mzuri kinoma tunaishi nae nyumba moja ya kupanga apa DSM yeye anafanya kazi dukani kariakoo ni mzuri kinoma sina maeozea nae sana zaidi ya salama ila nimempenda awe mpenzi wangu mbaya zaidi Mimi nimeacha kutongoza mda mrefu maana mademu siku hizi...
  5. kenny mtanashati

    JamiiForums Tanzania Leo nimechelewa kumaliza , nilikunywa pombe demu nikamliza

    Leo nilikunywa pombe sana napenda sna kunywa Kilimanjaro hau safari sasa Kuna demu mmoja jirani nikamtia sound akajaa aisee sio poa Leo nimejikuta na nguvu sio poa bao la kwanza nimelitoa dakika 40 aisee demu alikuwa anapiga kelele Ngoma imesimama sio poa nimepiga vitatu vya kuunganisha Hadi...
  6. kenny mtanashati

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Nomaa Sanaa
  7. kenny mtanashati

    JamiiForums Tanzania Iran imetangaza hali ya hatari kwa wananchi wa Israel, huenda ikapiga bomu la hatari duniani

    Taarifa kutoka nchini Iran zimesema kuwa leo siku ya Alhamisi huenda dunia ikaandika katika historia kwani Iran inaweza kupiga israel kombora lake la sumu ambalo halizuiliki wala kuonekana kwenye rada na linafika Israel ndani ya dk 6 tu Iran imesema haitalaumiwa kwa lolote
  8. kenny mtanashati

    JamiiForums Tanzania Iran yashambulia makao makuu (HQ) ya Mossad leo asubuhi huko Tel Aviv

    iran ameanza kupiga kwenye mshono
  9. kenny mtanashati

    JamiiForums Tanzania Iran yashambulia makao makuu (HQ) ya Mossad leo asubuhi huko Tel Aviv

    Makao makuu ya Myahudi ya Mossad yameshambuliwa vibaya huku maafisa wakuu wa Mossad wakiuawawa kufuatilia mashambulizi makali ya makombora ya Iran ya ballastic na hypersonic kushambulia leo asubuhi, Iran iliudanganya mfumo wa ulinzi wa Iran dome na thaad wa Israel na kufanya shambulizi la...
  10. kenny mtanashati

    JamiiForums Tanzania Iran yakubali kusalimu amri, kuufuata ushauri wa Donald Trump rais wa Marekani

    Rais wa Marekani Donald Trump ameitaka Iran irudi haraka kwenye meza ya mazungumzo na kusaini makubaliano ya kusitisha mpango wa nyuklia kabla haijapoteza kila kitu. Rais Trump ameandika hayo kupitia ukurasa wake wa Truth social Taarifa hiyo nmekuekea hapo chini kwenye comments Trump amesema...
  11. kenny mtanashati

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Netanyahu kakimbia Nchi kuokoa kiwiliwili chake

    Taarifa kutoka Aljazeera zimesema kuwa waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amekimbia inchi kufuatilia taarifa za kiulinzi alizopewa na Mossad. Amekimbia nchi huku ikiwa imebanika kuwa ameonekana akipanda ndege ikisadikika amekimbilia marekani, hii imekuja baada ya kuwepo uvumi kuwa leo...
Back
Top Bottom