Recent content by Kenneth kache

  1. K

    JamiiForums Tanzania Ulizia hapa kuhusu Shule uliyo chaguliwa 2014/2015

    ipo kahama! N karibu sana ukiwa unatoke kigoma! Na n jiran na mji wa GAMBOSHI ucsahau kwenda na bible maana huko dini ipo nyuma saana!
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ulizia hapa kuhusu Shule uliyo chaguliwa 2014/2015

    kwa advance ni boarding ? Na o level inayo? Mm nime selectiwa hapo
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ulizia hapa kuhusu Shule uliyo chaguliwa 2014/2015

    Jaman tulio pelekwa aman abeid karume high school kondoa dodoma tukutane hapa.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ulizia hapa kuhusu Shule uliyo chaguliwa 2014/2015

    Kwa anae ijua hii shule naomba anijuze kidogo! Kuhusu jinsi ilivyo na miundo mbinu yake!
  5. K

    JamiiForums Tanzania Post za kidato cha tano kwa mwaka wa masomo 2014/2015

    wewe umejuaje?
  6. K

    JamiiForums Tanzania Selection kidato cha tano 2014-2015

    Selection zitatoka baada ya kombe la dunia kumalizika,na ndio michuano inaanza leo hii! So selection n tarehe 12 au 13 july 2014,kureport katika shule uliyo pangiwa n august mosi! Kwa wale mlio hitimu msikate tamaa kwan zimebakia cku chache! Cha kufanya wewe angalia comb gani ume balance vizuri...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kuhusu selection za form five 2014

    wewe hao n 4m 4 liver wa 2013,na co wa 2014. NECTA 2014 C bado.uwe unaelewa kwanza co una kurupuka tu!
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kuhusu selection za form five 2014

    Wengne tulisha jiajir wakitoa post zao hzo wakaripot wenyewe!
  9. K

    JamiiForums Tanzania Naitaji tution ya mwanafunzi anayetarajia kujiunga form5 hge

    mbona haja chelewa! Coz hata selection zenyewe bado?
  10. K

    JamiiForums Tanzania A-level history 1&2 topics.

    ngoja niangalie!
  11. K

    JamiiForums Tanzania A-level history 1&2 topics.

    asante saana @ evelyn
  12. K

    JamiiForums Tanzania A-level history 1&2 topics.

    duh kaz ipo advance!!
  13. K

    JamiiForums Tanzania A-level history 1&2 topics.

    Wanajamii kwa anaye zifahamu topic za history 1 and 2,za form 5, NAOMBA UNI ORODHESHEE HAPA TAFADHARI. Na ningependa kufaham nn tofauti kati ya HISTORY 1 NA HISTORY 2!?
  14. K

    JamiiForums Tanzania Napenda kufahamu maneno haya kwa Kisukuma na Nyamwezi

    Bingw'e bhasombha; 1.nsomba ntale. 2.ngw'ana osheke. 3.njingi okojinga 4.ngosha kogema 5.abhayuka 6.ndemi 7.nhendele 8.ntale obhajing 9.mashkolo magen 10.ngw'an sale. 11.nkwilima 12.seheba obhotogwa 13.ngwana oshmba kinehe abhasukuma mle mhola.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Jamani kwa matokeo haya naweza kuchaguliwa

    Hapo unasepa HKL,HGL, na HGK
Back
Top Bottom