Recent content by kengele maziwa

  1. kengele maziwa

    JamiiForums Tanzania Utundu ukizidi sana kitandani inakuwa kero

    Nimeshindwa kuelewa kwamba hawa ni wanawake wawili au mimi sielewi vizuri
  2. kengele maziwa

    JamiiForums Tanzania Kwa mara nyingine tena nakubaliana na watanganyika wengi kuwa hatuna Jeshi la Wananchi

    Kwani yale ni maandamano au uhalifu na uporaji ulikuwa, na kama maandamano lengo liikuwa ni nini?
  3. kengele maziwa

    JamiiForums Tanzania Hakikisha mkeo hapungukiwi na mambo haya 3 ya lazima kibiblia

    Usisahau na bando hasa Mb
  4. kengele maziwa

    JamiiForums Tanzania Wanaume Tafuteni Kazi za kufanya,matajiri wa mabasi wanawataka wanawake kuwa makonda, wanaume tunazidi kutengwa

    Nachukua nafasi hii kuipongeza serikali ya awamu ya sita 😂😂
  5. kengele maziwa

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    PSG 3 - ARS 2 Aggregate 4-2 Arsenal out
  6. kengele maziwa

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kupitia situation gani ukasema hii ni habari njema ya kusikitisha?

    Kuna mabalaa unaona hapa Mungu amekuepusha nayo kabisa
  7. kengele maziwa

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kupitia situation gani ukasema hii ni habari njema ya kusikitisha?

    Ni kweli kuna matukio unakutana nayo kwa uwezo wako huwezi kuyamudu kwa kipindi hicho Mungu anaingilia kati, hapo ndio unaona ukuu wake.
  8. kengele maziwa

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kupitia situation gani ukasema hii ni habari njema ya kusikitisha?

    🤣 Kweli hiyo habari njema ya kusikitisha
  9. kengele maziwa

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kupitia situation gani ukasema hii ni habari njema ya kusikitisha?

    Weekend ndio hivyo imeshafika wandugu wa jukwaa hili habari zenu nyote. kama tittle inavyosema umeshawahi kukutana na situation gani ukasema hii ni HABARI NJEMA YA KUSIKITISHA . Miaka flani muda kidogo nilishawahi kuwa na mpenzi ambaye akapata mimba japo sikuihitajia kwa kipindi kile...
  10. kengele maziwa

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Jana tumecheza vizuri tumeweza kupata clean sheet na magoli matatu, changamoto ya sisi mashabiki kuona timu inapata matokeo na kuona wachezaji wetu wanafanya vizuri. Ila kiuhalisia jamaa wamecheza jumamosi na forest, then jumanne na Ac Milan jana na Bournemouth so hao jamaa wanachoka na...
  11. kengele maziwa

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Kaka sasa hivi tunayataka yote hatujui kocha ajae atakuja na sera ipi wacha tumuage klopp vizuri
  12. kengele maziwa

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    New structure in progress
Back
Top Bottom