Lowasa ati amechoka kusikia na kuitwa fisadi, anataka anayemwita fisadi mla rushwa ajitokeze hadharani na atoe ushahidi!!! Mimi simwelewi huyu jamaa, au anmaanisha ni kwa wana ccm tu? Dk. Slaa alishajitokeza hadharani na alibaki kimya. Mvi za huyu mzee zimeathiri mpaka ubongo wake eti hakumbuki.
Je Lowasa alisema nini au anasemaje juu ya katiba Inayopendekezwa, acheni ujuha na ushabiki wa kijinga! Huo ulikuwa msimamo wa chama na si wa samwli sita.
Baada ya kuwasirisha mapato na matumizi ya wizara yake, Waziri wa uchukuzi Mh. Samweli Sita, Kasema kwa jinsi anavyopambana na ufisadi tangu TANU mpaka sasa, haoni mtu mzalendo mwenye kuweza kupambana na tatizo la Rushwa na ufisadi miongoni mwa wanaotaka kuwania Uraisi haoni mtu mwenye kuweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.