Recent content by ken-rock

  1. K

    JamiiForums Tanzania Harusi ipo palepale ila nabadilisha bibi harusi

    Fanya maamuzi ukiwa umetulia,sio busara ukifanya maamuzi ukiwa kwenye shinikizo(under pressure)..unapswa kusubiri kwa muda ili umjue kwa muda huyo biharusi mpya,shinikzo la kutopata msaada kwake limekukwaza,kwa hyo tulia na ........uachane naye tu huyo asiye na...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Maeneo ambayo mwanaume anatakiwa ajipime kabla ya kuamua kuoa

    ujumbe mzuri umenigusa "'Naomba na mambo anayopaswa mwanamke afanye kabla ya kuamua kuolewa,uwawekee nao wasome.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Je hii ni kweli kuhusu wanaume waliooa?

    na pia wana-michepuko mingi, wanajua kuwachenga njia kuu wasijue,hata wafanye ushenzi vipi hawezi kusahau kuhudumia familia.. ni hayo tu kuhusu mwanaume mwenye cha pili na cha nne vinavyo lingana.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akikujibu SMS yako hivi acha haraka sana kuchat nae

    toa kitu upate kitu,wewe unanunua gari mwingine anaweka mafuta,na service anafanya mwingine,unanunua simu mwingine ananunua voucher,unampangia nyumba mwingine ananunua fenicha,....na huo wote ni mgawanyo wa majukumu.kazana kutafuta hela uweze kumiliki watoto wazuri.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Hili lina ukweli asilimia 100% kuhusu wanawake

    kawaida ...ila kkuna wanawake wengine wanahonga pia.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kina kaka acheni ujinga, hakuna mwanamke asiyetaka kuhongwa, shauri yako

    Da mi napita tu ,ngoja nikatafute fweza nije kusoma hii thread vizuri.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Zali la mentali, ushauri tafadhali

    hao ni matapel i wa kimtandao,samahan ilakini unaonekana ni mgeni wa kimtandao haya mambo yapo kwenye mitandao ya kijamii, kuna rafiki yangu aliwahi tuma ac.no wakaiba hela zote na ac ikawa blocked,we mwelekeze ukweli kama wewe umeshtuka kama yeye ni tapeli uone kama...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Ni kweli watoto wa mwisho wanapendwa zaidi na wasichana?

    Malezi tu ...mbona watoto wa kwanza huwa wanadeka pia kwasababu wazazi wanakuwa na hamu na mtoto,japokuwa familia zingine wanabadilika ,familia zingine hakuna mabadiliko.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Above 1980s

    kajipaange vizuri mkuu ili tukusaidie ...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Wana JF naomba mnipokee

    asante sana..
  11. K

    JamiiForums Tanzania Wana JF naomba mnipokee

    nashukuru sana babu mlimakafu,asante sana
  12. K

    JamiiForums Tanzania Wana JF naomba mnipokee

    naombeni mnipokee na kuniung a mkono wana jamii forum.naomba nikaribie jamvini
Back
Top Bottom