Inashangaza sana! Yaani wapinzani wanasahau kabisa kule yetu ipo nje!!!!! Lazima utoke ndo upate kula!!! Yaani nimeamini ndio maana wakaitwa wapinzani,,,,,,,
Yaani ninachojua kibongobongo lockdown itakuja kuongeza majanga zaidi ya hili tulilonalo,,,,
Maana mahabusu zitakuwa mara dufu mtu...