Recent content by kemondaro 57

  1. K

    JamiiForums Tanzania Laptop gani inanifaa kwa laki nane

    Thanks a lot bro, sometimes huwa tunadhani haya mambo ni generation hii, but inafika time mambo yako yanakwama. Then inatubidi usimame kupambana that's my story, nimelazimishwa na wakati no way out[emoji106][emoji106]
  2. K

    JamiiForums Tanzania Laptop gani inanifaa kwa laki nane

    Itakuwa browsing na typing a lot. Hii itakuwa ni side hustle nikiwa nyumbani after work.Right now Kuna kazi nafanya Ila I'm intending to go my way.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Laptop gani inanifaa kwa laki nane

    CHIEF MKWAWA na manju wengine wa IT naombeni ushauri wenu. Kwa budget isiyozidi 800k laptop gani itanifaa.
  4. K

    JamiiForums Tanzania CEO wa Simba, Barbara Gonzalez hataki kufananishwa na Ndugu Senzo Mbatha

    Trh 30 June CAF wanataka majina. ya timu na wachezaji, hapo ndio kitaeleweka kati ya Kulwa na Doto yupi yupo serious.Maana hizi drama zimetuchosha,
  5. K

    JamiiForums Tanzania Je, wajua Wazaliwa wa Pwani huwaona wazaliwa wa Bara kama washamba tu?

    Sema, andika, kejeli,dharau ila sisi wa Bara "we call the tune"[emoji444][emoji444][emoji445]mtatupisha huku mjini, asikwambie mtu [emoji765][emoji765]ndo kila kitu.Big up Wakinga, Wachaga etc wanatuwakilisha vyema huko mjini kwenu.Mnauza site[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23] wenyewe bila...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Wanaotoka sare kizembe na timu mbovu kama Biashara United Hawawezi michuano ya Kimataifa , Subirini Aibu

    Kuna timu kusini ya jangwa la Sahara hairogi!! Msimu uliopita Kuna clip ilikuwa inawaonyesha Kaizer walivyokuwa wanachimbia na kumwaga ulozi kule kwao.Vile tu haikwenda viral ila ukweli ndio huo.Simba tatizo wao walifanya wazi, Kuna clip moja Pondamali alikuwa anahojiwa kuhusu kuroga itafute...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kutoka kwa legend Edo Kumwembe

    Iwe kaandika Edo au mwingine takwimu haziongopi.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Ushirikina umeanza uwanja wa CCM Kirumba Mwanza, Makomandoo Simba na Yanga waumizana

    Tafuteni clip za Juma Pondamali ndio mtajua kama kweli Yanga hawarogi.Kinachowatofautisha ni platform za kufanyia huo upuuzi.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji625][emoji625][emoji625]duhhhhhhh
  10. K

    JamiiForums Tanzania Panga la wachezaji Simba linanukia mwishoni mwa msimu huu, kuna majina makubwa

    Huyu wakuitwa Bwalya aende tu!! Anaikaba team ninaunga mkono hoja yako bro[emoji120][emoji120]
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ehhhhhhh!!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Utajua hujui, chezea betting wewe[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  12. K

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Hat-trick Ya Fiston Kalala Mayele Kwenye Derby Ya Kariakoo 2021/2022

    Amka fala wewe bado unaota.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
  14. K

    JamiiForums Tanzania Prime Chuji Vs Prime Feitoto: Unamchagua nani kwenye kikosi chako?

    Usifananishe Chuji na vitu vya kijinga.Kwangu mie Chuji ni moja kati ya viungo bora kabisa kuwahi kutokea katika ligi kuu ya TZ. Alikuwa full package mwamba yule.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Simba hili kundi tutachukua points kwa nani?

    Bro, kwa ubora wa kikosi chetu kwa sasa nina wasiwasi.Kingekuwa kile cha mwaka jana yes, Yote kwa yote tuone performance ya mechi ya kwanza ndo tutapata majibu.Ila angalizo lako la hao wengine (UTOPOLO) naomba lizingatiwe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
Back
Top Bottom