Recent content by Kemetlgia

  1. Kemetlgia

    JamiiForums Tanzania Mungu anafanya miujiza au anatumia sayansi?

    Alafu pia brother... 1. Yaani wewe unaonekana kabisa ni wale epistemic nahilism na unashindwa kutofautisha na epistemic humility ndio maana kuna namna upo rigid kuelewa angle tofauti na watu wavyojaribu kukupa shule. Hizi zote ni falsafa tu na zote zinamantiki sasa jaribu kuelewa katika angle...
  2. Kemetlgia

    JamiiForums Tanzania Mungu anafanya miujiza au anatumia sayansi?

    1. Sasa brother hapa mbona unaegemea sehemu moja tu ya empirical na logical consistency kwa mfano kulingana na unachokisema ukitumia only empirical tools, hutagundua chochote kisichoguswa na milango ya fahamu. Na hiyo ni sehemu ndogo sana ya uhalisia. mfano: Huwezi kupima uzito wa dharau kwa...
  3. Kemetlgia

    JamiiForums Tanzania Mungu anafanya miujiza au anatumia sayansi?

    vizuri Sasa niambie huo Ukweli unaousema kulingana na maana yako unauthibitishaje kuwa ni ukweli halisi na si hadithi au perception tu? Na tafadhali usitumie assumptions au belief system yoyote.
  4. Kemetlgia

    JamiiForums Tanzania Mungu anafanya miujiza au anatumia sayansi?

    Ukweli ni nini?
  5. Kemetlgia

    JamiiForums Tanzania Mungu anafanya miujiza au anatumia sayansi?

    Ndio maana nimesema chochote unachokiamini so long as kinakuletea mguso wa ukweli basi endelea kukiamini. Hao wote wako sawa kwa Imani zao. kujua yupi ni yupi utahitaji kuthibitisha scientifically kama unavyotaka ili upate majibu yatakayo kuridhisha. na ili tuthibitishe basi tum objectify...
  6. Kemetlgia

    JamiiForums Tanzania Mungu anafanya miujiza au anatumia sayansi?

    Umegoma tu kuelewa. We Imani unaithibitishaje kuwa ni kweli?? Tumetoka kuongelea subjectivity hapa. Unataka niseme Mungu wa fulani sio sahihi kama MUNGU wangu ili iweje wakati kila mtu ana mapokeo yake?? Au utataka nianze kuhoji Kwanini hauko sahihi kwa imani yako kama ilivyo imani yangu??
  7. Kemetlgia

    JamiiForums Tanzania Mungu anafanya miujiza au anatumia sayansi?

    Imani iliyo hai mara nyingi huambatana na mguso wa ndani wa kweli yaani ukisema naamini katika nguvu fulani, hiyo inatakiwa iambatane na mguso wa ndani sio kukariri tu kwamba Imani yako ni hii lazima uifate. Mfano rahisi; Unapenda mwanamke fulani... Lakini imani yako inakwambia huyu hafai...
  8. Kemetlgia

    JamiiForums Tanzania Mungu anafanya miujiza au anatumia sayansi?

    😅😅 Jamaa aandike publication
  9. Kemetlgia

    JamiiForums Tanzania Mungu anafanya miujiza au anatumia sayansi?

    Ndio kaka. Ni wewe tu na imani yako. Na namna unavyoishi na mazingira yako.
  10. Kemetlgia

    JamiiForums Tanzania Mungu anafanya miujiza au anatumia sayansi?

    Unaweza share ugunduzi wako hapa... Maana hapa umetoa tu mtizamo.. Tuanzie hapa Ugunduzi ni nini?? Alafu share gunduzi zako kama hutojali. Sawa upo sahihi pia Pitia nyuzi zilizopita...si kila kitu kinaweza thibitishwa mkuu. Huwezi ingia lab ukathibitishe huzuni. Je kushindwa kuthibitisha...
  11. Kemetlgia

    JamiiForums Tanzania Mungu anafanya miujiza au anatumia sayansi?

    Ndio kabisa 1.Akili 2.Busara 3.Utashi. Matumizi ya hivyo utaamua ww.
  12. Kemetlgia

    JamiiForums Tanzania Mungu anafanya miujiza au anatumia sayansi?

    Haps itstegeme Kitu chochote ukikitafutia sababu Huwezi kosa kaka.
  13. Kemetlgia

    JamiiForums Tanzania Mungu anafanya miujiza au anatumia sayansi?

    Umegunduaje mkuu ili tupate uelewa sote kwa pamoja tuache kujidanganya kwamba yupo wakati hayupo.
  14. Kemetlgia

    JamiiForums Tanzania Mungu anafanya miujiza au anatumia sayansi?

    Hapa bro nadhani Kushindwa kuthibitisha kitu hakumaanishi kitu hicho hakipo. Mfano:Kabla ya bacteria kugunduliwa, watu hawakuweza kuthibitisha kuwa kuna viumbe vidogo vinavyosababisha magonjwa. Je, hiyo ilimaanisha bacteria hawakuwepo labda? Hapana. Maana ukilalia kwenye huo mlengo Itabidi tum...
  15. Kemetlgia

    JamiiForums Tanzania Mungu anafanya miujiza au anatumia sayansi?

    Huenda hata ukielezewa namna ye anasema hajawahi umbwa... Bado hutoelewa kulingana na uwezo wa akili zetu. Mfano rahisi... Utakuwa ushasikia kwamba dunia imeumbwa kimahesabu na fizikia.... Je kuna mwanasayansi alishawahi thibitisha how??? So unakuta vingi tupo juu juu... Tu hata jibu likitoka...
Back
Top Bottom