Recent content by kelvinmgina

  1. K

    Mpaka sasa nimepoteza $300 kwenye forex

    Hongera kwa hatua uliyofikia. Mimi pia nilichoma account mbili toka nianze kufanya forex november 2017 jumla 350$ sababu huwa ni zilezile kwa watu wote kwa kuvunja kanuni za forex, na hii inatokana na kutamani kupiga pesa ndefu upate faida mara mbili au tatu ya mtaji. Toka hapo nikasoma tena...
  2. K

    Mere prediction about the future: Yajayo yanafurahisha, upo tayari?

    Powerful thread! Thanks alot. Huwa natabasamu tu ninapoona mtu hatambui mchango wako katika fursa adhimu zote ulizotuletea. Huwa najilaumu kidogo kuchelewa kukufuatilia. Huwezi amini leo hii sina mpango kabisa wa kuajiliwa tangu nilipoanza kuadapt fursa ulizotufungua. Usikate tamaa matunda ya...
  3. K

    Rais Kikwete ampa somo lowassa

    yakiwa ni mambo mabaya anaambiwa yeye waziri ndio ameharibu na sio rais lakini mambo mazuri ndo yamefanywa kwa niaba ya rais ....
  4. K

    Ushauri: Nahitaji kufungua Saloon ya kike

    OK nashukuru kwa ushauri
  5. K

    Ushauri: Nahitaji kufungua Saloon ya kike

    Niko Dodoma karibu na chuo nataka kufungua saloon ya kike na msimamizi mzuri nitamleta. Nataka nipate uzoefu kwa waliofanya hii biashara ya saloon ukilinganisha na duka la cosmetics mauzo yake kwa siku. Natanguliza shukrani..
Back
Top Bottom