Recent content by kelvin mercier

  1. K

    Barua ya wazi kwa NACTE

    Tafadhali husika na kichwa cha barua hapo juu!! Mm ni muhitimu wa ngazi ya stashahada na ninaetarajia kujiunga na shahada ya kwanza! Lakini nimekutana na changamoto kubwa katika swala la udahiliii!!! Nilipia sh 50,000 NACTE Ili niweze kufanya mchakato mzma wa udahiliiii cha kusukitisha mpaka...
  2. K

    TCU yafungua mfumo wa udahili wa pamoja(CAS) kwa mwaka wa masomo 2016/2017

    Inakuwaje kwa watu walio lipia nacte kujiunga na shahada ya kwanza? Maana taarifa zinasema udahili wote utafanywa na tcu sasa kwa walee tulio lipia nacte inakuwajee
  3. K

    Naomba kupata ufafanuzi wa gharama za TANESCO

    Wadau wenzangu wa jamii forum napata kizungumkuti kuhusiana na hizi tozo za tanesco. Nimenunua umeme wa sh 15,000 wamechanganua kwa namna hiii Cost TZS 12,295.09 VAT18% TZS 2,295.09 EWURA 1% TZS 122.95 REA 3% TZS 368.85 TOTOL TZS 15,000.00 Kila nikijaribu kudadavua naona tanesco...
  4. K

    Kabla Rais Magufuli hajazama jumla, ajiulize kwanza kwanini Kagame na Kikwete walikuwa na mgogoro?

    Vpiii unataka unifundishe maneno ya kuandika hiii ni jamiii forum usitake niamini unachokiamini wewe!! Ila nimepima nimeona wewe ni mbururaaa
  5. K

    Kuwatumia watalaam toka Rwanda ni kudharau watalaam wa Tanzania

    Sidhani kama nidhambi kwa magufuliiii kuchukua wataalamu kutoka Rwanda kwa sababu moja kuleta changamoto kwa wataalamu wazawa walio kuwa wamelalia taaluma zao, mbili watanzania tulio wengi tunapopata nafasi flaniii wazo la kwanza tunafikiriaa upigajiiii na cio uelediiii wa kaziiii, tatuu...
  6. K

    Kabla Rais Magufuli hajazama jumla, ajiulize kwanza kwanini Kagame na Kikwete walikuwa na mgogoro?

    Inaonekana comment yangu imekwaza sana brother!! Hii ndio maana la jukwaa huru kuandika ninachokipenda mimi sio kinachokupendeza wewe amkaaa mtanzania
  7. K

    Kabla Rais Magufuli hajazama jumla, ajiulize kwanza kwanini Kagame na Kikwete walikuwa na mgogoro?

    Me sifikiriiii kama magufuliiii akiwa na uhusiano na kagame panaweza kuleta shidaah yoyoteee !! Hapa kazi tuuu
Back
Top Bottom