Naomba kupata ufafanuzi wa gharama za TANESCO

Jul 2, 2016
10
28
Wadau wenzangu wa jamii forum napata kizungumkuti kuhusiana na hizi tozo za tanesco. Nimenunua umeme wa sh 15,000 wamechanganua kwa namna hiii


Cost TZS 12,295.09
VAT18% TZS 2,295.09
EWURA 1% TZS 122.95
REA 3% TZS 368.85
TOTOL TZS 15,000.00


Kila nikijaribu kudadavua naona tanesco wamenilaliaaa! Kwa yeyote labda anayefahamu huu mchezo unachezwa vipiiii anielewesheeeee.

Ila kiukweliiii makatooo ni mengii hiii nchiiiii
 
Hujazoea kulipa kod nn; hujaelewa nn hapo wakat umewekewa mchanganuo wote na Total ukawekewa.....nilitegemea utauliza Unit moja bei gan ...Kwa taarif 1 na 4
 
Back
Top Bottom