Recent content by kelvin mella

  1. K

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio Manabii na Mitume matapeli, tumechoka kuwavumilia sasa

    ubarikuwe sana tena mungu akupe maono uzidi kuwafochua
  2. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaja na makubwa baada ya Kamati Kuu

    huyo amepoteza mwelekeo ,dira, na matumaini tena ni aibu kubwa sana kutoka uwaziri mkuu mpaka kugombea uwenyekiti wa kanda
  3. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaja na makubwa baada ya Kamati Kuu

    kutoka waziri mkuu wa nchi mpaka kwenda kugombea uwenyekiti wa kanda? huyo mzee kafilisika eee? hiyo ni aibu tena aibu kubwa sana bora abaki bila uongozi tu
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Kingunge: Wazee waliojitoa CCM wanajidhalilisha

    amemaanisha wazee ambao walisha hama ccm kama vile lowassa. sumaye. kingunge
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kwa Mara ya Kwanza Gazeti la Tanzania Daima laipa kisogo CHADEMA na kuiangazia CCM Dodoma

    hapa kazi tu majungu ukawa chama chenyewe hakina utaratibu wowote wanafanya mambo kwa kukurupaka hawana misingi wala maadiri
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kwa Mara ya Kwanza Gazeti la Tanzania Daima laipa kisogo CHADEMA na kuiangazia CCM Dodoma

    ni balaaa watu wanajua ccm ni nini na inafanya kitu gani kwa manufa ya watu wengi hao wapiga debe ukawa walisha poteza dira hawana mwelekeo wowote
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kwa Mara ya Kwanza Gazeti la Tanzania Daima laipa kisogo CHADEMA na kuiangazia CCM Dodoma

    ccm ni chama hai kipo imara sana ukawa hawana jipya na watu wamesha wachoka hawana sera za kufanya watu wawapende ccm no 1
  8. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa UKAWA juu ya namna bora ya kuwajibu CCM

    chadema hawana majibu ya kuijibu ccm maana walisha poteza mwelekeo
  9. K

    JamiiForums Tanzania Sumaye: CCM kaa chonjo

    hana lolote huyo hawezi kuitisha ccm kwa lolote nafiki amekosa ya kuongea
Back
Top Bottom