Recent content by Kelvin Jonston

  1. Kelvin Jonston

    JamiiForums Tanzania Hivi ni nchi gani Rais mwenye Diploma aliongoza ma-professor?

    Kwani uongozi ni elimu?
  2. Kelvin Jonston

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimefanikiwa kupata njia ya kumtambua mwanamke wa kuoa (wife material) hebu soma ujionee

    Yaan kigezo nkumsifia baba yake ndye wife material? Umenoa aisee.
  3. Kelvin Jonston

    JamiiForums Tanzania WanaChadema wanaendesha kampeni katika mitandao ya WhatsApp Magufuli ashindwe tuzo ya FORBES 2016

    Washndwe haohao wasio muunga mkono. Tutampigia kura na atashindaa. Sijui tupewe nn turidhike.
  4. Kelvin Jonston

    JamiiForums Tanzania Aliyetolewa macho yawezekana yeye ndiye mkosaji

    Hata kama umemzid kupgana si kwa style ile. Jaman hata kama angeonyeshwa slaha ya moto ukamzdi ukamnyanganya haimaansh upge risasi umuue!! Sidhan kuna hukum ya namna ile.
  5. Kelvin Jonston

    JamiiForums Tanzania Mwigulu, Kigwangalla, Makonda jibuni tuhuma hizi nzito

    Pamoja na hayo hebu tufirie kwa ambao labda pengine alifaulu lakn kwa sababu ya ukosefu wa ada hakuweza kuendelea na wenye uwezo wakalitumia hiyo mbaya lakn kama mtu aliacha kwa sababu zake na mtu akalitumia ni upenyo kwa aliye tumia jna hlo. Mbaya nikutumia cheti cha mtu au ufaulu wa mtu.
  6. Kelvin Jonston

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nampenda sana lakini ana mke

    Aaaaaaah!!! Dini kama inaruhusu kubali tuu. Kwann umwache? Hyo siyo sabab ya kumwacha ila kwa kua hakukuambia mapema kama anamke. Take care.
  7. Kelvin Jonston

    JamiiForums Tanzania Ni nchi gani ambayo unaipenda sana eleza na sababu

    U.S.A kwa sababu ya mfumo wa kidemocrasia upo juu.
  8. Kelvin Jonston

    JamiiForums Tanzania Mwinyi: Nchi sasa inakwenda kama Gari bovu

    God bless us! Amen. Nadhan lnchi itakua salama tuu.
  9. Kelvin Jonston

    JamiiForums Tanzania Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Tofauti ya uchawi na uganga ninn? Uganga wa kienyeji.
  10. Kelvin Jonston

    JamiiForums Tanzania Amos Makalla: Wanafunzi wa Mbeya Day, wana nidhamu mbovu,Wanavuta bangi, Walimu karibuni Mbeya

    Sasa kama mkuu wa mkoa amekiri nidham ni mbovu kwa shule hyo walimu wafanyeje ili nidham iwepo!? Ndugu zangu tuangalie shule za seminaries. Tujifunze kwao wao wanafanya nn wanafunzi wanafaulu na kwann wanakua na nidham!?
  11. Kelvin Jonston

    JamiiForums Tanzania Amos Makalla: Wanafunzi wa Mbeya Day, wana nidhamu mbovu,Wanavuta bangi, Walimu karibuni Mbeya

    Kwa style hyo sheria za shule hakuna. Mwanafunzi anapaswa kutii sheria za shule duuh!!! Tutafika kwel!?
  12. Kelvin Jonston

    JamiiForums Tanzania Amos Makalla: Wanafunzi wa Mbeya Day, wana nidhamu mbovu,Wanavuta bangi, Walimu karibuni Mbeya

    Sidhan kama mtoto kama ananidham nyumban shulen akawa mtukutu walio wengi huwa tabia mbaya huanzia nyumban anakua jeuri. Hebu tufikirie pia vijana wanamaisha gan kwa upande wa nyumban.
  13. Kelvin Jonston

    JamiiForums Tanzania Amos Makalla: Wanafunzi wa Mbeya Day, wana nidhamu mbovu,Wanavuta bangi, Walimu karibuni Mbeya

    Uje umuulize mzazi wako kama amekulia kjjn walikua wanaadhibiwa aje!? Wakati mwngne mwanfunzi anadiriki kumpiga mwalimu enzi izo. Walimu walikua wakali saana shulen na wanafunzi walikua wakali mitaani. Haswa kwa wale walevi walikua wanachapwa saana. Fatilia zama zile ilikuaje.
Back
Top Bottom