Recent content by Kelvin John Joseph

  1. Kelvin John Joseph

    JamiiForums Tanzania Kutafuta chumba cha kupanga si kazi ndogo kama wengi wanavyofikiri

    Siyo kiaina, ni waziwazi kabisa na ni kwa uhakika na ukweli mtupu.
  2. Kelvin John Joseph

    JamiiForums Tanzania Kutafuta chumba cha kupanga si kazi ndogo kama wengi wanavyofikiri

    I'm cool with that, nimesema kwenye post zangu za mwanzo ni hivyo and I've nothing to hide.
  3. Kelvin John Joseph

    JamiiForums Tanzania KUTAFUTA CHUMBA CHA KUPANGA SI KAZI NDOGO KAMA WENGI WANAVYOFIKIRI.

    Kaka hiyo ni app na ni investment, sasa huwezi kuinvest bila kulenga profit. App inafunction free lakini nitakapoiweka playstore itaanza kutengeneza chochote kitu. Kwani mwenzangu shughuli zako zote unatoa msaada tu kwa 100%?
  4. Kelvin John Joseph

    JamiiForums Tanzania KUTAFUTA CHUMBA CHA KUPANGA SI KAZI NDOGO KAMA WENGI WANAVYOFIKIRI.

    Mbona kuna vyumba mpaka vya 30000!
  5. Kelvin John Joseph

    JamiiForums Tanzania Kutafuta chumba cha kupanga si kazi ndogo kama wengi wanavyofikiri

    Mawasiliano yanaweza kuwepo lakini yasiwe ya wakati huo ambao wewe unahitaji huduma, chumba kilikuwa wazi jana ila leo kimepata mpangaji ila kwa kuwa wewe ulikiona jana ukasema leo utaenda ukikague unafika saiti unakuta mpangaji yumo. Ili kuondoa usumbufu kama huo ndio mimi nikaja na project ya...
  6. Kelvin John Joseph

    JamiiForums Tanzania KUTAFUTA CHUMBA CHA KUPANGA SI KAZI NDOGO KAMA WENGI WANAVYOFIKIRI.

    Ni kweli ni mengi ila nipe baadhi ili niyarekebishe.
  7. Kelvin John Joseph

    JamiiForums Tanzania KUTAFUTA CHUMBA CHA KUPANGA SI KAZI NDOGO KAMA WENGI WANAVYOFIKIRI.

    Ahsante kwa ushauri, taratibu tutaendelea kufanya marekebisho.
  8. Kelvin John Joseph

    JamiiForums Tanzania Kutafuta chumba cha kupanga si kazi ndogo kama wengi wanavyofikiri

    Kuna kipindi nilikuwa nasoma UDOM, na kama umewahi kuwa mwanafunzi wa chuo kikuu, utakuwa unaelewa vizuri kabisa maana ya kutafuta sehemu ya kuishi. Unaweza ukafika eneo fulani ukiwa na matumaini kwamba leo lazima upate chumba. Unakutana na mtu unamuuliza; "Samahani, huku kuna vyumba vya...
  9. Kelvin John Joseph

    JamiiForums Tanzania KUTAFUTA CHUMBA CHA KUPANGA SI KAZI NDOGO KAMA WENGI WANAVYOFIKIRI.

    Sawa, naondoa ndugu yangu. Kwahiyo nifungue uzi?
  10. Kelvin John Joseph

    JamiiForums Tanzania KUTAFUTA CHUMBA CHA KUPANGA SI KAZI NDOGO KAMA WENGI WANAVYOFIKIRI.

    Sawa, ni vile tu mimi ni mgeni huku, nilifikiri nimeweka uzi kumbe nimeweka kwenye jamvi la watu! Ngoja nifanye niondoe.
  11. Kelvin John Joseph

    JamiiForums Tanzania KUTAFUTA CHUMBA CHA KUPANGA SI KAZI NDOGO KAMA WENGI WANAVYOFIKIRI.

    Kuna kipindi nilikuwa nasoma UDOM, na kama umewahi kuwa mwanafunzi wa chuo kikuu, utakuwa unaelewa vizuri kabisa maana ya kutafuta sehemu ya kuishi. Unaweza ukafika eneo fulani ukiwa na matumaini kwamba leo lazima upate chumba. Unakutana na mtu unamuuliza; "Samahani, huku kuna vyumba vya...
  12. Kelvin John Joseph

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini niepuke kivuli cha ex husband asiyekubali kuachana?

    Zungumza moja kwa moja na mmiliki wa nyumba au chumba unachotaka kupanga! 🏠📱 Usizunguke kwa madalali wengi, usipoteze muda kutafuta taarifa zisizo sahihi, wala usihangaike kuulizia nyumba moja baada ya nyingine. Kupitia PataChumba, unaweza kutafuta nyumba na vyumba vya kupanga vilivyotangazwa...
  13. Kelvin John Joseph

    JamiiForums Tanzania Nimeweza kutengeneza App kwa kutumia AI

    Kwakuwa teknolojia inakua kwa kasi niliona baada ya miaka mitatu mbeleni asilimia kubwa ya shughuli zitafanyika kwa njia ya mtandao, kwahiyo naweza kusema target yangu ni watu wote nchini hasa wale wenye smartphone. Najua challenges lakini nina hakika taratibu wataelewa na kuadopt mfumo.
  14. Kelvin John Joseph

    JamiiForums Tanzania Nimeweza kutengeneza App kwa kutumia AI

    Sasa kaka mbona umeipost safari nyingi sana, unaintend kunielekeza au kupromote page? Fungua uzi!
Back
Top Bottom