Recent content by Kelams

  1. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii ipoje kuhusu mwanaume kuwa na kipato ndio aoe??

    Kumekuwa na mijadala mingi kuhusu suala la "Wakati gani wa Mwanaume kuoa". Wengi wameenda mbali zaidi na kusema, "Suala la mwanaume kuoa sio umri, bali ni kipato na uwezo wa kuilea familia" Swali: Mwanaume huyo atagundua vipi kuwa kipato chake alichonacho sasa kinamwezesha yeye kuoa?? Ni kipato...
  2. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kuacha kumuabudu girlfriend unayempenda ila haoneshi kukupenda

    Nimesndwa kukuelewa, malizia tu faza
  3. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kuacha kumuabudu girlfriend unayempenda ila haoneshi kukupenda

    Nimesndwa kukuelewa, malizia tu faza 👊
  4. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kuacha kumuabudu girlfriend unayempenda ila haoneshi kukupenda

    Ndo maana nawauliza nyie wataalamu, ni namna gan naweza kuControl?
  5. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kuacha kumuabudu girlfriend unayempenda ila haoneshi kukupenda

    Kama nakuelewa hv mkuu
  6. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kuacha kumuabudu girlfriend unayempenda ila haoneshi kukupenda

    Kivipi
  7. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kuacha kumuabudu girlfriend unayempenda ila haoneshi kukupenda

    Nifanyeje ili kuAct Normal? Nisaidie Boss
  8. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kuacha kumuabudu girlfriend unayempenda ila haoneshi kukupenda

    Atleast hata wewe mkuu, umenieleza. Nimeleta topic ili nipate ushauri, sio kupondwa. Hata kama nimekosea natakiwa kuelezwa kwenye namna ambayo inasaidia kwasababu hii ni ishu ya kihisia. Kwa mtu mwenye uelewa ataona kabsa hapo ni namna gan hisia zimeizidi akili. So, nishauriwe namna ya kupambana...
  9. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kuacha kumuabudu girlfriend unayempenda ila haoneshi kukupenda

    Hapana, sio kwamba naendekeza mapenzi kazini. Ila huwa inatokea, baada ya huduma najarbu kuongea nae kuhusu mahusiano yetu. (Kumbuka tu, hata kuonana kwetu ni kwa nadra. Kwahyo natumiaga hiyo chance pia)
  10. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kuacha kumuabudu girlfriend unayempenda ila haoneshi kukupenda

    Nina Girlfriend wangu, nampenda sana. Naye ananipenda sana (kwa mujibu wa anavyodai). Nimeshakutana naye kimapenzi zaidi ya mara 2. Huwa najitahd kumfanyia kila kizuri Ofisi yangu inapatikana karibu na nyumbani kwao, ila kinachonishangaza, huwa haji kama Girlfriend wangu, anakuja kama mteja...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kurekebisha fonts za TV yangu

    Habari zenu wana jamvi, naomba tusaidiane. Nina TV aina ya Sundar (sio Smart). Ina-support Flash driver na ina-load subtitle vizuri kwenye video. Tatizo linapokuja ni kwamba, siwezi kuongeza FONT ya subtitle. Kwenye User Manual kumeeleza kila kitu, kasoro namna ya kukuza Subtitle tu. Sasa...
  12. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tuweke ushabiki pembeni, ukweli ni kwamba Rais Samia ameshindwa kazi ya urais

    Hizo sio kazi zilizompeleka Ikulu
Back
Top Bottom