Sina uhakika kama kweli tunajadili ajenda/hoja hii kwa mustakabali wa nchi yetu. Kusema kujali uwiano wa kijinsia nadhani siyo sahihi kwa maana watu wengi wanakubaliana na ukweli kuwa kwa kipindi kirefu wanawake wamekuwa wakipewa nafasi ndogo sana kwenye uongozi wa nchi simply kwa kuwa ni...
Nijuavyo mimi kwa hapa Tz tuna post code. Mfano kwa mkoa wa DAR post code inaanzia 11000, wilaya kama ya Ilala kata ya kivukoni inaandikwa 11101 nk. Ila kwa Tz jinsi tunavyobadili mitaa kila akija mgeni na kuongezea mingine, sina uhakika kama mfumo huu unafuatiliwa.
Hii inanikumbusha siku Nape alipoenda Tandahimba na kuwaita Wapinzani kuwa wehu na wafuasi wao ni makopo na 2014 Tandahimba mjini ehu wakaongezeka na makopo yakaongeseka mara dufu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.