Recent content by kekukeku

  1. K

    Dr. Slaa adaiwa kumwandikia meseji ya vitisho IGP

    :evil:Hivi ukitafakari kauli hii ya Nchimbi vizuri utamshangaa kama yeye alipata taarifa hiyo kama waziri wa usalama wa ndani ya nchi yetu alichukuwa hatua gani kabla ya tatizo halijatokea? angetuambia kwanza hatua alizochukua yeye na IGP wake baada ya kupata sms hiyo, walishauriana nini au yeye...
  2. K

    Mdahalo wa Ugomvi: Ati Nyerere alikuwa Dikteta; aliua wengi...

    :flypig:Mwalimu mtu wa pekee alikuwa ila tu watu wanaofanya maovu ya sasa mnataka kujifananisha na mwalimu na kutaka kupumbaza watu wawamini ninyi kupitia kauli zenu hizo kuwa ninyi ni wasafi kuliko mwalimu. nyerere alikuwa mtu wa ajabu mpenda amani, haki, aliyelinda raslimali za nchi...
  3. K

    Nape na Mwigulu naomba mnijibu...

    Hivi swala hili la kuwa kila siku watanzania wanaminishwa kuwa kuna watumishi baadhi ni wabovu na ndio wanaoharibia CCM utendaji naomba msilitamke mtafute sababu nyingine sio hii maana hii inzuiilika na hao watendaji wakaondoka toka kwenye system. Nchi hii inapotea ila inahurumia chama changu...
  4. K

    Hii ndiyo cv ya mbunge wa Mbarali

    ya nini CV humu kama kuna ulazima tutaomba:nono:
  5. K

    Siasa za matusi

    Siasa za matusi na uongo ambavyo wazee wetu wanataka kuturithisha hatuzitaki kabisa katika nchi hii. Tunajua siasa ni mchezo mchafu waswahili husema hivyo lakini sio michezo hii ya kusema uongo halafu mtu mzima anaanza kuomba radhi ni aibu kwa chama na wanachama wake.:heh:
Back
Top Bottom