Hipo nchi ambazo zinampa nafasi raiya yeyote kueleza mawazo yake na yakafanyiwa kazi kwa kiasi flani lakini tanzania shida tupu ukionekana uchozungumza ni cha ukwer basi utasikia tu kama ujatekwa basi umemwagiwa tindikali au wakuue kwa rilasi sasa kwa namna hii atuwez kufika hata siku moja...
Hii tanzania tunapoelekea ni pabaya sana uyo ana makinda anasema ivyo kwasababu sisi walala oi ndio tutaoumia yeye aoni kama anapoteza kitu chochote na hiyo alfu moja unaweza ukafanyia mambo mengine
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.