Recent content by Kei Msena

  1. K

    Mbowe: Slaa anapumzika, msiwe na hofu

    kilichobaki ni mahaba tu ila siasa ndo hivyo kuna wakati zinakuwa ngumu na mtu kukumbana na wakati mgumu xana kimaamuzi wasiwaze kwa mnyika kwakuwa ndo kijana huo ndo ukomavu kisiasa ila slaa na baregu wajizuru kwani mimi ningefanya hivyo.
  2. K

    Heri Zitto Kabwe kuliko Dr.slaa

    mtoa mada iq yako 10
  3. K

    Tusijifariji CCM inapasuka

    hapa wakitaka jenga ccm mpya ni kuondoa lowassa kwenye ramani ya siasa ya chama cha mapinduzi. nawots wanaomfuata/wafuasi wake. kama ananguvu aondoke na nguvu zake. ila na upinzani wasimpokee kwanihuyu mfanyabiashara anataka akauze madawa ikulu, anawatisha watu ahame thu aende anakojua...
  4. K

    Kauli ya UVCCM Bagamoyo kuwa rais hatatoka kaskazini vipi kwa Lowassa, Migiro na Sumaye?

    mbona alikanusha mapema mno tena ci dhaidi ya masaa 24 toka iliposambazwa hiyo taarifa?
  5. K

    Utendaji wa Magufuli na mfano wa msichana wa kazi

    ukiangalia vzr Magufuri sio mtu wa siasa sana, yeye ni mtendaji. 1. hana ahadi ahadi kama walivyo wanasiasa wengine. 2. hana maneno matamu matamu ya ki laghai na kisiasa kama walivyo wanasiasa wengine. 3. anajipambanua toka kwa wengine hasa kwa utendaji kazi wake. 4. mtu makini sana...
Back
Top Bottom