Recent content by Kegenya

  1. Kegenya

    JamiiForums Tanzania Kuhama kutoka TAMISEMI kwenda Wizara ya Afya

    Ugumu wake upo sehemu gani sana sana?
  2. Kegenya

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya waajiriwa wapya kada ya ualimu kutopata mshahara na pesa za kujikimu kwa kipind cha miezi na kuripot kazini mpaka wapigiwe simu

    Ni vyema ungeelezea changamoto ambayo unahitaji kufahamu ili muelekezaji aweze kujua anakupa elimu ipi
  3. Kegenya

    JamiiForums Tanzania Kinahitajika chumba cha kupanga karibu na ofisi za Ruwasa-Siha, Kilimanjaro

    Mwenye namba ya dalali wa vyumba /nyumba au anakijua chumba kinachopangishwa; i. kisiwe mbali na ofisi za Ruwasa za wilaya ya Siha, mkoa wa Kilimanjaro. ii. Kiwe self contained
  4. Kegenya

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya waajiriwa wapya kada ya ualimu kutopata mshahara na pesa za kujikimu kwa kipind cha miezi na kuripot kazini mpaka wapigiwe simu

    Approver anaapprove vitu gani? Na je, hivyo itu visipokuwa sawa inakuwaje? Naomba elimu kidogo
  5. Kegenya

    JamiiForums Tanzania Naweza pata gari za kwenda Morogoro usiku huu kutokea hapa Dar?

    Hakunaga mabasi yanayotoka saa 8 au saa tisa?
  6. Kegenya

    JamiiForums Tanzania Je, ni taratibu gani zinatakiwa kufatwa kabla ya DAWASA kumkatia maji mteja?

    Na yenyewe wanantumia control number au nawapa cash?
  7. Kegenya

    JamiiForums Tanzania Je, ni taratibu gani zinatakiwa kufatwa kabla ya DAWASA kumkatia maji mteja?

    Sawa asante kwa taarifa Je, baada ya kulipia kuna gharama nyingine? Au nikishalipia wanarudisha freely?
  8. Kegenya

    JamiiForums Tanzania Je, ni taratibu gani zinatakiwa kufatwa kabla ya DAWASA kumkatia maji mteja?

    Hili deni linalozungumziwa hapa ni limetumwa siku sita nyuma.
  9. Kegenya

    JamiiForums Tanzania Je, ni taratibu gani zinatakiwa kufatwa kabla ya DAWASA kumkatia maji mteja?

    Kumekuwa na utaratibu wa Dawasa kufika eneo la nyumba na kukata maji bila hata kutoa taarifa kama wanakata maji ilhali wenye nyumba wapo na namba za simu wanazo kwenye karatasi zao. Je, hii ni sawa?
  10. Kegenya

    JamiiForums Tanzania Kuchota mchanga uliokusanywa na Wafagiaji barabarani ni kosa?

    Ila hii sio ya site Maana barabara inatumika tayari na hakuwa ujenzi wala marekebisho yanayoendelea Hii ni michanga iliyofagiliwa na sidhani kama inafaa kwa ujenzi
  11. Kegenya

    JamiiForums Tanzania Kuchota mchanga uliokusanywa na Wafagiaji barabarani ni kosa?

    Hivi huwa wanaizoa baadae?
  12. Kegenya

    JamiiForums Tanzania Kuchota mchanga uliokusanywa na Wafagiaji barabarani ni kosa?

    Je kipindi ambacho hamna mvua huwa wanachota pia?
  13. Kegenya

    JamiiForums Tanzania Kuchota mchanga uliokusanywa na Wafagiaji barabarani ni kosa?

    Toroli zima
  14. Kegenya

    JamiiForums Tanzania Kuchota mchanga uliokusanywa na Wafagiaji barabarani ni kosa?

    Hapana nataka niumwage hapa ninapoishi maana pana mfinyanzi maji yanatuwama sana
  15. Kegenya

    JamiiForums Tanzania Kuchota mchanga uliokusanywa na Wafagiaji barabarani ni kosa?

    Sawa. Makosa ya kiuandishi ndugu nimerekebisha
Back
Top Bottom