habarini zenu wakuu, ninaomba mnisaidie mimi ninarafiki angu tunaesaidiana kwenye shida na raha hawezinificha ki2 wala mimi cwezmficha ki2, kuna cku moja mme wake alinitumia txt ya kunitongoza mm nikamuonesha mdg wng ile txt nikasema huyu kachanganyikiwa au mm nikamjibu anikome tena anitolee...