Recent content by Ked zee

  1. Ked zee

    JamiiForums Tanzania NHC watuweke wazi nini kinaendelea na ujenzi wa Morocco square

    Sikujua.lkn ushavuliwa nguo,inabidi itafutwe solution ya kuisha.
  2. Ked zee

    JamiiForums Tanzania NHC watuweke wazi nini kinaendelea na ujenzi wa Morocco square

    NHC watuweke wazi nini kinaendelea na ujenzi wa morocco square. Miaka mingi imepita na mradi umelala. Ulianza kwa kasi na matuamini makubwa katika kukuza uchumi wa dar es salaam. Ni disappointment kubwa sana.Mradi ushavuka asilimia 50 But still haushi.
  3. Ked zee

    JamiiForums Tanzania Tanzania tu adapt USB-C standard charger kama EU.

    Anazalisha Kwan yuko juu ya Sheria.Nchi ikiamua kwa nn asifate.
  4. Ked zee

    JamiiForums Tanzania Tanzania tu adapt USB-C standard charger kama EU.

    Issue ni Sheria ya nchi.Kwa mfano ni unnecessary iphone kutumia chaji tofauti na wengine.
  5. Ked zee

    JamiiForums Tanzania Tanzania tu adapt USB-C standard charger kama EU.

    Smartphones na electronics devices zitumie charger aina Moja.Naona itakuwa poa. Iphone devices ndo zinaongoza kutumia charger tofauti na devices zingine. Tuki adapt standard charger,itakuwa cost effective kwa wananchi na pia positive kwa mazingira kwa kupunguza electronic waste.
  6. Ked zee

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi, bajeti na funding

    Hapo jamaa washafanya ualifu na kusepa.
  7. Ked zee

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi, bajeti na funding

    Asante kwa kuliona hilo mkuu.
  8. Ked zee

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi, bajeti na funding

    Serikali iangalie hili swala,kwa jicho la tatu.Jeshi la polisi ni nguzo muhimu katika usalama,amani na ulinzi kwa wananchi. Matatizo mengi ya kiusalama kwa wananchi yanaweza kuepukika.Jeshi la polisi likiwa kinafanyi kazi kwa ufanisi. Kwa nini nasema liongezewe bajeti na funding Kwanza jeshi...
  9. Ked zee

    JamiiForums Tanzania Unahisi una uwezekano wa kuwa Bilionea baadae?

    Sure, maana sometimes better late than never.
  10. Ked zee

    JamiiForums Tanzania Unahisi una uwezekano wa kuwa Bilionea baadae?

    Wote tuna ndoto za kutimiza baadae, na tu-plan ya jinsi ya kuzitimiza na nyingi zitatuingizia fedha tukizitmiza. Wanajamii wenzagu, kwenye asilimia ngapi unanafasi ya kuwa bilionea na ukiweza jibu kwa nini.
  11. Ked zee

    JamiiForums Tanzania Ulazimu wakuwepo wanasaikologia na counsellors mashuleni

    Wanafunzi wana vitu vingi sana kichwani,kihisia na wanapitia mabadiliko mengi sana. Wanahitaji kupata majibu kuhusu yote hayo. Walimu wanasoma somo la saikologia wakiwa wanasomea ualimu.Lakini haitoshi,kwanza wanamajukumu mengi ya darasani,yanayozuia yeye kushughulikia matatizo binafsi ya...
  12. Ked zee

    JamiiForums Tanzania Kitendo gani alifanya mama yako kikakuhamasisha maishani bila yeye kukuambia?

    Nikiwa mtoto mama yangu alikuwa akipiga gym, kila aamkapo kwa kunyanyua jiwe zito alilokuwa kalitafuta na kulihifadhi kibarazani. Nilikuwa nacheka sana nimkutapo asubuhi akifanya hilo zoezi na kukaa mbele yake nikikodoa tu macho. Nimekuwa mtu mzima sasa, nilipokumbuka kile kitendo cha mama...
  13. Ked zee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa: Muda ukirudishwa nyuma, utachagua kumuoa au kuolewa na uliyenaye sasa?

    Mimi bado sijaoa,lakini hupenda kuwauliza watu waliooa na kuolewa hili swali. Cha kushangaza asilimia kubwa ninao wauliza, hunijibu wasinge mchagua mume au mke walienae kwenye ndoa. Na asilimia kubwa wanaume ndiyo ,hujibu wasingemuoa mke aliyenaye kwa sasa, kuliko wanawake. Ukiuliza sababu...
  14. Ked zee

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ngiri Maji Mawasiliano (Elimu kwa Wazazi kutatua ugonjwa mapema kwa watoto)

    Naitwa Emmanuel ni kijana wa miaka 28,nilizaliwa na tatizo la ngiri maji mawasiliano.Ni ugonjwa ambao ungetibika nikiwa bado mtoto mdogo,lakini kutokana na kutopata elimu sahihi,Wazazi wangu walishindwa kulivalia njuga swala hili.Mpaka leo hii naishi na tatizo hili .Napenda kuchukua nafasi hii...
Back
Top Bottom