Habari Wakuu, Ofisi ipo Dar es Salaam wanahitaji Warehouse Manager & Logistics Manager mwenye uzoefu.
Naomba tuma CV zako kwenda hrfbde@gmail.com
Ahsanteni
Habari Wakuu, Ofisi ipo Dar es Salaam wanahitaji Warehouse Manager & Logistics Manager mwenye uzoefu.
Naomba tuma CV zako kwenda hrfbde@gmail.com
Ahsanteni
Ni muhimu makazi yako yawepo Mwanza, uwe umewahi kufanya Kazi ya Sales Mwanza. Unaijua Mwanza vizuri.
Naomba nitumie CV yako kwenye Email hrfbde@gmail.com
Uko sawa Mkuu, Mimi nakuelewa, Mimi nimeandaa hayo maisha kwa miaka kama 5 sasa. Nilitafuta eneo kama Ekari 6 kwenye Misitu ya Iringa..Tayari nilipanda mazao ya muda mrefu. Huwa naingia Porini na kutoka, kuna harakati Mjini namalizia, mwakani nitaingia Porini mazima
Habari Wakuu, Kiwanda Kipo Dodoma kinahitaji accountants waliomaliza chuo Mwaka jana(2024) au Mwaka juzi(2023).
Naomba tuma CV zako kwenda hrfbde@gmail.com
Angalizo: Usitume CV zako kama hujamaliza mwaka 2023/2024. Ahsanteni
Habari Wakuu, Kiwanda Kipo Dodoma cha Alizeti kinahitaji wafanyakazi wa ndani ya Kiwanda wenye kujua ku operates Machine mbalimbali.
1. Boiler Operator
2. Refinery Operator
3. Oil Crusher Operators
4. Oil Packaging
4. Forklift Operator
Kama una uzoefu kwenye moja ya eneo hilo naomba tuma CV...
Habari zenu
Madereva 20 Wanahitajika
Ni Kiwanda cha Mafuta ya Alizeti
Mahali pa Kazi: Dar es Salaam /Dodoma.
Wanahitajika wenye uzoefu wa kuendesha Magari makubwa
Mwenye Kujua kuzungumza Kingereza vizuri atapewa kipaumbele.
Ambatanisha Picha yako ndogo ya Passport na CV yako: hrfbde@gmail.com...
Habari zenu
Human Resource Officer anahitajika
Ni Kiwanda cha Mafuta ya Alizeti
Mahali pa Kazi: Dodoma.
Anahitajika HR mwenye uzoefu wa kufanya Kazi viwandani.
Mwenye Kujua kuzungumza Kingereza vizuri, Labour Laws na Ujuzi wa kutumia Computer vizuri.
Tuma CV yako: hrfbde@gmail.com
Utapigiwa...
Mkuu kumbuka toka Kinana amejiengua hadi sasa Chama hakina Makamu mwenyekiti, Nadhani hivi karibuni Chama kitaitisha Mkutano wake Mkuu na kuna mabadiliko yatatokea halafu ni kama jamaa atakula Shavu, ni kama ameambiwa Jisafishe kwanza
Habari zenu
Sales & Marketing Officers wanahitajika
Ni Kiwanda cha Mafuta ya Alizeti
Mahali pa Kazi: Dodoma & Dar es Salaam.
Wanahitajika watu wenye uzoefu wa kuuza Mafuta ya Kupikia ya Alizeti. Wenye database ya Customers wa Mafuta.
Mwenye Kujua kuzungumza Kingereza vizuri na Ujuzi wa kutumia...
Habari zenu Wakuu
Tunahitaji Welders wazuri ambao wanauwezo wa kusoma Michoro (Drawings) na kuifanyia Kazi. Mahali pa Kazi: Dodoma
Tuwasiliane: 0761584652
Mahali pa Kazi: Dodoma
Anahitajika Warehouse Manager ambae anazijua Mashine mbalimbali vizuri. Ni warehouse yenye machine equipments nyingi.
Hivyo, anahitajika mtu ambae atasimamia warehouse lakini awe anazijua machines mbalimbali na kuzifunga.
Awe ana fahamu hukusu Warehouse Management...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.