Recent content by kdrama_masters

  1. kdrama_masters

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Alafu channel yenyew ndio ina mwezi wa kwanza
  2. kdrama_masters

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Hizi zipo kwa kingereza chepesiii
  3. kdrama_masters

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Ipo kwenye DSTV premium,compact plus,compact na ipo kwenye familly mpaka 31July itatolewa. So kwanzaia August haitakuepo kweny familly.Kwa sasa drama zinazoruka ni Memorist,Mr.Queen,Tomorow with you na sixth sense.Sema sisi watu wa Kpop ndio tuna enjoy zaid
  4. kdrama_masters

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Kitu nilikua cjui ni kua TVN wana chennel Africa.Asante sana DSTV kwa kuniletea TVN Africa channel number 134.Kwa wale mnautimia ving'amuzi vya DST mnaweza kua mnaona drama za TVN kweny TV tu.Haina haja ya kutumia mi bundle ya data,zmetafsiriwa kwa kingereza chepesi mno.
  5. kdrama_masters

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    BTS wanafanya poa sana lakini hyo haimaanishi kua kwasababu SM ni Agency kubwa basi wasanii wake wanapata mteremko.Kiongozi wa EXO Suho alikaa kwenye label bila kufanya debute kwa miaka 10.Ukifatilia hata wakat EXO wanatoka kulikua na makundi mengi makubwa kama BigBang,Shinee,Super Jr,2PM ila...
  6. kdrama_masters

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Katika makundi yote ya Kpop nmekua shabiki mkubwa wa kundi la EXO.Tangu wanafanya debute na EP iliopewa jina la MaMa.Wakitamba na ngoma kama mama,history. Walipokuja kutoa One of Korean National Anthem,Moja ya nyimbo bora za kpop iliopewa jina la Growl,Ilikua balaa sana. The War Album ndio...
  7. kdrama_masters

    Muigizaje anayelipwa mkwanja mrefu zaidi Korea

    Yule ana shika nafasi ya pili nyuma ya hyu mamba
  8. kdrama_masters

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Park Seo Joon Huenda akashiriki katika movie mpya ya CAPTAIN MARVEL.CAPTAIN MARVEL ilikua movie ya kwanza kutoka Marvel yenye super hero wa kike kama lead character.Park Seo Joon ataondoka Korea kwenda USA kweny nusu ya pili ya mwaka,pale atakapo maliza Shooting za movie ya UTOPIA ambayo ana...
  9. kdrama_masters

    Muigizaje anayelipwa mkwanja mrefu zaidi Korea

    Kwasabab Korean entertainment hua hawawki mikataba yao wazi so hizi data hua zinatolewa na wataalam wa financial au vyanzo vya kuaminika lakin ni anonymous. So tunasema inasemekana kwakua hii inaweza isiwe kile wanacho ingiza kwa usahihi
  10. kdrama_masters

    Muigizaje anayelipwa mkwanja mrefu zaidi Korea

    Hela hazipo youtube pekeee...Alafu acha kua obsessed na Sadal
  11. kdrama_masters

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Mm kusema kweli sikuona haja ya penthouse 3.Sema kwakua ndio drama inayofanya vizur korea sina cha kushangaa after all ni business
  12. kdrama_masters

    Muigizaje anayelipwa mkwanja mrefu zaidi Korea

    My fave character kweny GOT alikua Emilia and she deserve it actually
  13. kdrama_masters

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Mwandishi kamleta pacha wake Logan Lee ambae amepewa muonekano kama American rapper.Yaani rasta na Mi tattoo kibao kitu ambacho kimewakacrisha wengi sana
  14. kdrama_masters

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Penthouse iko season 3 ila ina upuuzi mwngi kama utaamua kuishia season 2 it'll be gud. Vicenzo wow what a drama imetulia mno kama ww ni mpenzi wa zile drama ambazo zimepoa story inaenda slow ila very catching.So nakushaur uchek Vicenzo
  15. kdrama_masters

    "Good doctor" Medical drama bora kabisa kutoka Korea

    Ya korea ndio Original hyo version ya hollywood cjaiona
Back
Top Bottom