Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Hivi Karibuni Nimeingiwa na Ulevi Wa KPOP Hasa Hawa Vijana Kutoka Bangtan (BTS) Nimekua Mmoja wa Mashabiki Wao (Na Ata Sijui Nimefikaje Uku) Ila Nimeanza Kusikiliza Nyimbo Zao na Kuweza Kuwajua Zaidi, Wanafanya Vizuri na Wako Vizuri Pia Kikubwa Nilichokipenda Kutoka Kwao Ni Namna Wanavyowaheshimu Mashabiki Wao, Kwenye Interview Zao Kwenye Shows Zao Neno Army Alikauki Kwenye Vinywa Vyao, Wanavyozungumzia Mafanikio Yao Cha kwanza Ni Kuwataja Mashabiki Zao Namna Walivyosimama Bega Bega Na Wao.

Sina Hakika Ila Najua Kwa Uchache Wasanii Wengi Hua Wanawashukuru Mashabiki Wao Ila Kwa Hawa Bangtan Boys Kwa Upekee ama Kwa Utofauti Nimeona Nafasi Kubwa Wanayowapa Mashabiki Zao (Nikiwemo Mie Shabiki Mpya), Na Kuna Nmna Ya Upendo Mkubwa Sana Wamepandikiza Kwenye Mioyo Yao Na Nimeipenda Hii Ndomna Labda Nami Nimevutika,

Niko Zangu Apa Nasikiliza Mikrokosmos Nyimbo Mahususi Kwa Sie Army
 
Tukirudi Kwenye Uwanja Wetu Wa Drama Nimepunguza Ulevi Sana Kutoka Soju 4 Mpaka 6 Kwa Pamoja Mpaka Chupa 2 za Soju Tena Kwa Kujivuta Lol Kweli Utu Uzima Wapiga Hodi.

Kwa Sasa Nipo na Mine- on going Hii Drama Kwangu Hasa Kwangu ( Hziyech22 Usije Niquote Vibaya) Naiona Ni Nzuri Hasa Kwa Sasa Inahusu Maisha Ya Matajri Na Vingasa Vyao na Imekuja tokea Kati Ya Character Anayechukiwa Zaidi Mi Ndo Nimempenda Lol!

Drama Ya Pili ni Bossam Steal the Fate-On going Na Yenyewe Kwa Upande Wangu Ni nzuri Na Ni Sageuk Drama au Drama Za Vijijini Kama Wengi tuziitavyo.

Ya Tatu ni My Roommate is a Gumiho Nayo Ni Nzuri Pia Kwa Upande Wangu Na Ina Hawa Vijana Wa Seoul in Daemusin Chingu Voice (Bogoshipda).

Na Ya NNE Ni Hospital Playlist 2 Yenyewe Bado Haijatoka Tunasubiri Alhamisi.

Ya Tano Ni Penthouse 3 Makjang Kwa Ubora Wake Naona Sasa Watu Washaichoka Nikiwemo Nimeishia Episode Ya Kwanza tu. Makjang Yamekua Mengi Mpaka Kero Anaua Character ana Warudisha ndo Imekua Kazi Yake.
 
Sema ujaiangalia hiyo "Fatal Promise" ungekuwa umeicheki ingekuwa kwenye Top 2 yako
 
Park Seo Joon Huenda akashiriki katika movie mpya ya CAPTAIN MARVEL.CAPTAIN MARVEL ilikua movie ya kwanza kutoka Marvel yenye super hero wa kike kama lead character.Park Seo Joon ataondoka Korea kwenda USA kweny nusu ya pili ya mwaka,pale atakapo maliza Shooting za movie ya UTOPIA ambayo ana endelea ku shoot.
kdramapages-1623734349193.jpg
 
Nawezaje pata drama ya LOBBYST

endelea kupumzika kwa amani jang jin young
kansa ya tumbo ilimuondoa duniani akiwa na miaka 35
June 14, 1974 – September 1, 2009
1623799660100.png
 
waendeleaje mwanajeshi wa kukodi wa BTS
wazee hawajambo
haji manara naye hajambo
kaizer chiefs hawajambo
klopp hajambo
simba hawajambo

kabla hujanikimbia uwe unanitumia ujumbe wa tafadhali nipigie, au hutumii zantel?
Wazee Wazima (Mmoja Alobakia).
Mwanajeshi Wa Kukodi Mpya Bado Nasukuma guruduma La Kusikiliza Kazi Nzuri Za Vijana.
Simba twaelekea kubeba ndoo Karibia Kushangilia Ubingwa
Klopp Msimu Ujao twachukua Makombe yote (hahaha)
Kaizer Sijui (Punguza Ukorofi)

Nilikutumia Angalia Vizuri Sim Yako au Ile Namba Ushabadirisha.
 
Back
Top Bottom