Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Katika makundi yote ya Kpop nmekua shabiki mkubwa wa kundi la EXO.Tangu wanafanya debute na EP iliopewa jina la MaMa.Wakitamba na ngoma kama mama,history.
Walipokuja kutoa One of Korean National Anthem,Moja ya nyimbo bora za kpop iliopewa jina la Growl,Ilikua balaa sana.

The War Album ndio album yao ambayo alnum bora ya mziki kuwahi kuisikiliza duniani hapa,bila kujali ni mziki wa aina gani ilitoka mwka 2018 na walishinda kama Best Album Korea.
Ilikua na nyimbo kama

Kokobop
Going crazy
Diamond
What u do
The Eve
Power (Nyimbo ya kwanza ya Kpop kupigwa kwny Dubai water Fountain)
 
Wanasema Kwamba SM( EXO Wapo Chini Yao) Wanajua Kutafuta Vipaji Kwa Maana Ya Kwamba ni Agent Company ambayo kua na kipaji cha kuzaliwa kwao Ni muhimu sana Pamoja na Muonekano Pia na Mafundisho yao yako na Uwezo Mkubwa Kinachopelekea Kutoa Wasanii ambao wana Uwezo Mkubwa Wa Kuimba (Vocals) na ata Kucheza (Dance) Na ni kati ya Agent Company inayoheshimika Korea Japo ina Makando Kando Mengi Yanayowaumiza Wasanii Wake.

Exo Niliwahi Wasikiliza Kipindi Flani (Mimi Mara Nyingi Hua Nafatilia Wasanii Zaidi ya Wanachoimba au Kuigiza) na Kipindi Hicho BTS Nilikua Nawasikia Juu juu tu na Sikua Ndani Sana Na Kpop Mi Nilikua Drama Drama Na Mimi, Na Hata Nikisikiliza Basi Mi ni Hyo Shin, Ailee, Gumy na Sana Sana ni Drama OST.

Ila Leo Uniambie EXO na BTS Mi Nitaenda Kwa BTS, BTS Nimechagua Ni Sababu Ya Vitu Vingi Walivyonavyo Ukiacha Kuimba tu, Tangia Walivyo debut Mpka Leo Kwa Mafanikio Walonayo Sasa Sina Namna Ya Kua Fan Wao tu.

Ni Kama Mtoto Ambaye Ni Silver Spoon Ni msemo wa Kikorea Huu( Alotokea kwenye Familia Bora) Na Mtoto Wa Kifukara (Alototokea Familia Zetu Izi) Uhangaikaji Wake Lazima Utakua tofauti ata Kutoboa KWAKE Lazima Kue tofuati na ndo tofauti ya Exo na BTS au tofauti ya SM na Big hit.
 
BTS wanafanya poa sana lakini hyo haimaanishi kua kwasababu SM ni Agency kubwa basi wasanii wake wanapata mteremko.Kiongozi wa EXO Suho alikaa kwenye label bila kufanya debute kwa miaka 10.Ukifatilia hata wakat EXO wanatoka kulikua na makundi mengi makubwa kama BigBang,Shinee,Super Jr,2PM ila bado walipambana.Tofauti ya Bighit na SM ni kua Bighit waliwahi sana kufanya promotion kweny soko la Kimataifa asa America wakati SM wali base na soko la Asia.Just imagine EXO na ukubwa wao wa miaka 9 kwnye game wamefanya tour moja tu America mwaka 2016 mpaka leo hawajawahi.Ila sasa linapofika kweny Tour za ndani ya Asia they are monsters.Ni kawaida kwao kuuza tickets under 1 second sold out.Promoter mmoja aliwahi sema wasanii wa SM wanagharama kubwa mno kuwpata akimaanisha kua malipo yao yanawza kua kawaida ila matumizi mengine ni hatar.
Another advantage nyingne ni kua Bighit walikaa muda mrefu sana wakiwa na BTS pekee tofauti na Labels zingne kama YG,JYP na SM zmeanza kufanya kazi miaka ya 80+ so zina wasanii wengi mno wanao wasimamia.Ndio maan ni nadra sana hata kuona msanii wa SM akatoa album mbili kwa mwaka.All in All BTS are the Kings of Kpop kwa sasa hilo halina mpinzani.But musically for me EXO are Kings
 
Mi Nasemea Kupata Urahisi Wa Kutoka Kwenye Hali Yeyote Ya Kutafuta Kipato Hapa Duniani Na Huezi Kataa Kuna Unafuu Sana Na Wepesi Kwa Watu Wanaosimamiwa Na Watu Wenye Uwezo Ama Nafasi Nzuri Kwenye Hii Dunia.

Turudi Apa Kwetu Mchukue Zuchu Anaesimamiwa Na WCB Na Kwa Sasa Tunaona Nafasi Walonayo WCB Tumchukue Jay Melody tumchukue Benson Aloimba Hauzimi Hawa Wametoke THT Kama Sijakosea Kwa Mfano wa Ao Wachache then Tuwalinganishe Kwa Anaefanya Vizri Sasa Kwa Soko Letu La Kibongo Na Yupi Anaepata Shows Nyingi Zenye Ela Then Tuone Nyuma Ya Ao Wasanii Kuna Kina Nani, tuje Pia Kuona Ni Nani mwenye tungo Nzuri na Vocal Nzuri.

Ndo Ninachomaanisha Kwenye Kusema Huezi Fananisha Big Hit Ya Kipindi Kila BTS Wanatoka Na SM Ya Kipindi Kile EXO Wanafanya Vizuri Haijalisha Kama Suho Alikaa Miaka 10 Mbona Ata RM Alikaa Zaidi ya Miaka 5 Kama trainee Na Ata Baada ya Kudebute Bado ilikua Ngumu Wao Kua Na Soko Korea. Wasanii Wengi Walio chini ya SM Wanafanya Vizuri kwenye Soko Hasa Baada Ya Kudebute Haijalisha Walipata Ugumu gani Ila Inakua Nafuu Kwao wakishatambulishwa.

BTS Kujulikana Marekani Na Kutoboa Soko La Wazungu Kuwaimbisha Na Kujaza Uwanja Zao Kwa Kuimba Lugha Wasoielewa Ni Kazi ya Ziada Sana Waloifanya Big Hit Kushika Chat Zao Kufanya Shows Kwenye Awards Zao na Kubeba Juu Tuzo Zao 세상ㅔ! .
 
Vipi uliicheki Dangerous Promise niliyokuambia?
 
Sio kwa mizawadi hii jamani. Happy birthday oppa
to
Screenshot_2021-06-22-22-38-30.png
 
Mlinzi wa usiku nalitaja jina lako mara tatu kama sauti ya jogoo anapowika.
Halotel wameamua kujitekenya wenyewe baadae wanalazimisha kicheko.

Habari hii unayo (umeshaijaribu ili unipe mrejesho)?
kama habari hii hujaipata ,Je una mtu wako wa karibu mwenye line ya halotel?
kama huna basi nakushauri katafute line nyengine ya halotel.

  • *148*66#
  • bonyeza namba 2 (zawadi kwa rafiki)
  • bonyeza namba 3 (internet)
  • bonyeza namba 5 (usiku)
1624957450174.png

  • utaambiwa uingize namba ya mpokeaji (hapo ndipo nilipofikia kwa sababu sina mtu anayetumia laini ya halotel)
kama ni kweli wameirudisha huduma ya unlimited kwa nyuma ya pazia basi niwape hongera (macho yangu hayaoni vizuri, hivi hapajaandikwa GB 5 hapo kwenye 1500)

ngoja nikanunue laini nyengine ya Halotel🚶‍♂️🚶‍♂️🧑‍🦯👨‍🦯🏃‍♂️
walevi wenzangu tumekumbukwa tena
nitawaletea mrejesho
:p:p:p:p
 
Back
Top Bottom