Recent content by kcamp

  1. kcamp

    Samsung wamezindua simu Galaxy S26 Series!

    Mbaya zaidi wachina nao wameanza kuwakopi Apple na Google,xiaomi anataoa simu unaweza jua ni iPhone 16,Wakina vivo nao wanafyatua simu design kama google tu,yani juzi napitia pitia masoko ya China nakutana na simu unaweza jua iPhone au google .
  2. kcamp

    Wireless earphones zenye bass.

    Nakubali kaka
  3. kcamp

    Wireless earphones zenye bass.

    Sio misifa kaka,hizo buds achana nazo kabisa,pinduka ni around yuan 360 hadi 380 hapo
  4. kcamp

    Wireless earphones zenye bass.

    Liberty 4 mashine,tatizo budget 😂 Ulivyo taja liberty 4 nikajua ww buds unazijua Pia kuna CMF buds 2 , OnePlus buds 4,kama hana hela ate least earfun air pro 4 japo still hawez pata kwa laki
  5. kcamp

    Wireless earphones zenye bass.

    Yes akipata CMF buds 2,au OnePlus buds4 hakika atakua amelamba mali,sema budget yake tatizo Nina buds 4 hapa ina kasheshe kuanzia ANC yake ni very outstanding,pia ina transparency mode ya kiwango, battery life nzuri kabisa,inakuja na Base wave feature inafanya uskie base ya maana kabisa incase...
  6. kcamp

    Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

    Weka na chipset yako na android version
  7. kcamp

    Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

    Hii mkuu mbona kama ni hardware issue
  8. kcamp

    Mke wangu amekuwa akizungumza kauli zenye utata na dharau, ni namana gani naweza kuvunja ndoa?

    Kuna kitu kinaitwa shit test,Wanawake wanafanya shit test kwa Mwanaume ili ku test the boundaries,sasa huanzaga na vitu vidogo vidogo,wakiona wameweza break the limits basi wanakuja kukufanyia makubwa,kwaiyo uki ignore vitu vidogo vidogo basi kubwa kuliko iko njiani,know how to deals with shit test,
  9. kcamp

    This is painful

    Kwaiyo amekaa 10yrs anasubri ajira?
  10. kcamp

    Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

    Ingia z2u utapata namba kwa bei chee tu
  11. kcamp

    Ipi ni 'sexual fantasy' yako?

    Tatizo watu wanapapala Mkuu,ila kila mwanamke ana squirt, with the right knowledge, patience basi maji lazima yatoke [emoji2]
  12. kcamp

    Ipi ni 'sexual fantasy' yako?

    Sasa pornography imetokea wapi ilihali watu wanaongelea sexy hapa
  13. kcamp

    Ipi ni 'sexual fantasy' yako?

    Sio kila unachoshindwa wewe useme sio real,haya mambo yapo real kabisa,huenda hata Mpenzi wako kakutana nayo,ila anakuchora tu,kaa kitalamu mzee, hizi mambo ni Genuine kabisa Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom