Mimi kama Mtanzania ninayeishi kijijini kwanza naipongeza serikali kuja na MUSWADA wa Bima ya Afya kwa watu wote ni Jambo jema ktk kunusuru afya za watu wake. Changamoto ninayoiona hapa ni hizi gharama za kila mwanachi mwenye familia ya watu sita kuchangia 340,000. Huu ni mzigo mkubwa na ni...
Mchezo mchafu uliofanyika kwenye zoezi la kuwapata makarani na wasimamizi maudhui huenda likaathiri upatikanaji wa taarifa sahihi kutokana na sababu kuu 2. 1-vijana wengi waliopatikana wamepatikana kwa njia isio sahihi yaani Rushwa na upendeleo.
Mfano kwenye kata yangu mtendaji wa Kijiji...
Wiki iliyoisha tulikamilisha usahili wa sensa lakini Kuna maajabu ambayo mimi niliyashuhudia kwa macho yangu kwenye majina ya sensa yaliyotoka yalikuwa Kama 38 kata nzima wakati tunaelekea kumaliza zoezi la sensa ghafla likaibuka kundi la walimu wa shule jirani na ofisi ya kata ambapo tulikuwa...
Maombi ya sensa yalianza vizuri ila mwishoni wameharibu, hakuna utaritibu wa kupata majina huku baadhi ya Halmashauri tayari zimetoa majina ila nyingine bado
Kwanini NBS wasingetoa majina kwa ujumla mtandaoni Kila mwombaji akajiona kuliko sasa wanahangaika kupata majina na hakuna taarifa rasmi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.