Ni hoja ya msingi, ila inahitaji mtazamo mpana na siyo kwa wabunge tu,
Ugumu wa maisha dodoma tusiuweke kwa wabunge peke yao, mimi nadhani wabunge wanatakiwa wajiweke kwenye maisha ya kawaida (standard), hasa wale wanaotegemea posho tu.
Fikiria mfanyakazi wa serikali ambaye naye huenda kwenye...