Recent content by Kazungu vision

  1. K

    Tuombe Mungu sana watoto wetu wasijekuwa kama mwijaku maana huku alipofikia inasikitisha

    Ni ajabu mtu kujaji maisha ya mtu ambaye huwezi ata kumsaidia chochote, kila mtu ana maisha yake na njia yake katika utafutaji, kulikoni ufuatilie maisha ya mtu ambaye hata akikwama huwezi kumsaidia chochote? Ikitokea leo mwijaku akasema aache kufanya hvo halafu umuchangie hela, cha ajabu ata...
  2. K

    Nifanye nini!? Namtamani kaka yangu

    Msaidiani kaka yenu maana tayari huyu mwanamke mchezo ashaumaliza na anasubr cku zifike tu. Maana hakuna mwanaume aliye timamu aone mke wake akizarau ndugu zake mpaka mama ake mazazi kabc halafu aendelee kumpenda huyo mwanamke la sivyo upendo ungechuja au kutafuta njia ya kuachana nae kabc huyo...
  3. K

    Kuna mpenzi wangu nilikua nampenda sana (na bado nampenda) ila kanipiga tukio ambalo najiuliza nimsamehe?

    Wewe utakuwa amekupa dawa mkuu, yaani mwanamke akufanyie tukio la kijinga namna hiyo bado unataka kumsamehe kwani hujapata mwanamke mwingine au yeye ana kitu gani cha maana ambacho wanawake wengine hawana? Hii so bure ashakuloga wewe. Kwanza ni aibu ata kueleza hili jambo, yaan leo hii unataka...
  4. K

    Kwanini ushoga ni mwingi Zanzibar kuliko Tanzania Bara?

    Tanganyika na Zanzibar ni nchi moja mkuu,unaposema tanganyka imeshindwa kuisaidia Zanzibar kukomesha ushoga kidgo unakuwa hujakamilisha matamshi inatakiwa useme kwa nini Tanzania imeshindwa kulipinga hili swala upande wa visiwani na wakati wanaliona likiendelea? Hili jambo kama ndo hivo kweli...
  5. K

    Kuna wakati wazazi wetu huenda wakawa chanzo cha umasikini kwetu au utajili kwetu

    Habari za mda huu wakuu, nmepend kushare na nyie uzi huu kigodo, maisha ya wazazi wetu ni changamoto kubwa na inaumiza sana especially sisi tuliotoka family za maisha ya chini, na tunapambana ili kubadili hali za familia zetu na wakati huo hali nayo ndo hvo ni ngumu kweli kweli pia umri wetu nao...
  6. K

    Jamii ya Waislamu waishio UK Waandamana kuunga mkono ndoa za jinsia moja

    Katika maisha haya shetani anacheza na akili za watu vzr xana kikundi cha watu kinainuka kama hvo na kujitangaza wao ni dini fulani pia wanaanza kupotosha dini hiyo kwa kusaport mambo ya hovyo kama hvo lengo kuu ni kuwatowa watu katika msingi mzuri wa dini hiyo. maana watu wanapoona hali hyo...
  7. K

    Jamii ya Waislamu waishio UK Waandamana kuunga mkono ndoa za jinsia moja

    Katika maisha haya shetani anacheza na akili za watu vzr xana kikundi cha watu kinainuka kama hvo na kujitangaza wao ni dini fulani pia wanaanza kupotosha dini hiyo kwa kusaport mambo ya hovyo kama hvo lengo kuu ni kuwatowa watu katika msingi mzuri wa dini hiyo. maana watu wanapoona hali hyo...
  8. K

    LGE2024 Hii ya Samia kupanga foleni kujiandikisha inafikirisha kidogo

    Wala sioni ajabu kwa Hilo mkuu mi naona wananchi wapo sawa tu rahis ni binadamu Kama binadamu wengine tu pia kafanya hivo kwa kuwaheshimu waliopo pale pia ukiaangalia vzr nikama wazee wakubwa hivo katumia ubinadamu kwa kuwaheshimu wale wazee Wala hawana makosa yoyote na Kama angewatow pale...
  9. K

    Mwalimu Sekondari ya Mwilibona awapiga wanafunzi 2 na kuwavimbisha mikono sababu ya kuchelewa kufika shuleni

    Ivi Kuna utofauti gani wakuu Kati ya enzi zile za ukoloni ambapo watu waliadhibiwa kwa fimbo na mijeredi na fimbo zinazotolewa mashuleni na walimu Kama vile watoto mashuleni bado wanauishi ukoloni wa enzi hizo
Back
Top Bottom