Recent content by Kazogoro

  1. K

    Matendo yanayofanywa na Wapinzani nchini ni akili au...?

    Huduma gani hizo 70% zinazopatikana vijijini?
  2. K

    Kutoka Checkpoint, Pugu: Aliyekuwa mgombea Ubunge jimbo la Ilala 2015 kupitia CHADEMA, Muslim Hassanali ajiunga na CCM

    Huyo Muslim amezaliwa na kukulia Kigoma, kwa hiyo siyo wa kumshangaa Kwa alichokifanya, watangulizi wake wote waliotokea mkoa huo walishahama ndani ya Chadema alikuwa amebaki peke yake
  3. K

    Tetesi: Wabunge wanne, kuhama vyama vyao

    Ataendelea kuwepo kwa sababu anakimarisha chama
  4. K

    Tetesi: Wabunge wanne, kuhama vyama vyao

    Endelea kuota.....
  5. K

    Tetesi: Wabunge wanne, kuhama vyama vyao

    Wanahama ama wananunuliwa na kuahidiwa vyeo? Watanzania wameshachoka na hii miaka 2 tu ya shida wanazozipata, wanafunzi Elimu ya juu zaidi ya 55% wenye kukidhi vigezo na sifa wamekosa mikopo, Huduma za jamii zimezorota kuliko wakati wowote ule katika nchi hii, ndo maana wapinzani wanawakimbiza...
  6. K

    Tetesi: Wabunge wanne, kuhama vyama vyao

    Kujenga Airport bila ya budget kuidhinishwa na Bunge ndo Ufisadi na ubadhilifu wenyewe huo
  7. K

    Tetesi: Wabunge wanne, kuhama vyama vyao

    Unaota ndoto za mchana, angekuwa na uwezo huo hasinghangaika kugawa vyeo na kununua magarasha ya upinzani
  8. K

    Wito kwa Bunge letu tukufu: Mkithibisha hii Nepotism ya ajabu na zile Boeing ni TT, then hatufai!.

    Kukusanya Pesa siyo faida..... Kama hujuhi uwe unanyamaza...... Kufanya mauzo mengi siyo kupata faida, wanaweza kuwa wamepata hasara katika makusanyo hayo wewe mamaa
  9. K

    Zitto Kabwe tena katika issue ya ndege ya Boeing

    Sasa kama siyo terrible teens ni ndege za aina gani? Mbona Serikali haisemi ni series ipi ya Dreamliner?
  10. K

    Usahihi wa Uwakili wa Profesa Kabudi na muktadha wa alichokizungumza Bungeni

    Hayo Hayo ni mawazo yako wewe siyo ya Prof Kabudi, na hiyo ni tafsri yako wewe na ni uelewa wako wewe na wala siyo Kabudi alivyokuwa ana maanisha
  11. K

    Tundu Lissu, tunafanyaje juu ya Prof. Kabudi?

    Lilikuwa darasa bali matambo ya irrelevance issues na matamko ya maneno ya kisheria, Hakika Prof Kabudi Alichemka Sana na pressure ilimpanda kiasi cha kunywa glass Saba za maji
  12. K

    JWTZ Musoma mmefanya uungwana mkubwa kwa ndg zenu polisi

    Hata Boss wao hakushiriki.... Msiwalaumu ni agizo toka juu
  13. K

    Rais Magufuli azindua Hostel UDSM; TCU dhibiti lakini Wanafunzi wawe na haki ya kuchagua vyuo

    Na kura za hao wanafunzi zinaenda upinzani, CCM inachaguliwa na akina Bashite, wenye akili timamu awawezi kuchagua maCCM
Back
Top Bottom