MB 70, MB 100, MB 200, au MB 300 zinakutosha kwa siku?
Binafsi mimi hazinitoshi, kama na wewe hazikutoshi basi leo nitakuonyesha namna ya kutumia na kupunguza matumizi yako kwa siku. Kwa hali ya kawaida au mara nyingi watu wanatumia kiasi kikubwa cha Data kuperuzi katika mitandao ya kijamii...
Hapo unaweza kutumia njia zingine ya kuangali nakudownload picha au video ambazo unahitaji zionekane katika gallery.
unaweza kuchagua na kutumia njia hizi tatu;-
kuzuia moja kwa moja picha na video zisijidownload kabisa.
Kuzuia picha na videos zisijidownload kwa baadhi ya watu au magroup...
Unaweza ukawa na watu kibao au magroup mengi katika whatsapp ambayo yanaweza kuleta usumbufu kutokana na picha au video zinazo tumwa.
Kama hauhitaji usumbufu huo na husingependa picha au video hizo zionekane katika gallery ya simu yako basi fanya na kufuata hatua fupi zifuatazo:-
Ingia katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.