Alafu hivi kwann watanzania tuna kasumba ya kupinga kila kitu bila kutathmin faida yake, kisa tuu mwenzako kafanya..tupeane sapoti jamani ili tuendelee.afu mtu anaepinga hana hata idea kichwani..
mi nadhani masoud kipanya ni moja ya vijana wabunifu tanzania!!wengine wanavyokazana na social media l,mwenzetu anafkiria nn kifanyike!!Ni bonge la idea na litakuwa bomba sana kama watapewa support na mitaji wakishamaliza hayo mafunzo..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.