Recent content by Kazi Mkuu

  1. K

    HONGERA RAIS MAGUFULI KWA KUONYESHA UKOMAVU MBELE YA MAASKOFU

    Rais Magufuli ameonesha mfano kwa kuzungumzia amani mbele ya Maaskofu. Mimi nimeona Magufuli ndio kazungumza kama Askofu zaidi maana kanukuu vifungu 24 vya Biblia. Nimeshangaa Askofu Mkuu Mpya wa Arusha Isaac Amani kuanza kukumbushia yale ya waraka. Angalau Askofu Ruwaichi amenyooka vizuri
  2. K

    Rais Magufuli atuma salamu za rambirambi kwa familia 12 zilizopoteza watu ajali ya city boy

    “Nimepokea kwa mshtuko na masikitiko makubwa taarifa ya vifo vya watu 12 waliopoteza maisha katika ajali ya barabarani iliyotokea jana usiku katika wilaya ya Igunga mkoani Tabora, nawapa pole wafiwa wote, ndugu, jamaa na marafiki walioguswa na msiba huu mkubwa. “Aidha, nalitaka Jeshi la Polisi...
  3. K

    Facts The Economist Got Them Wrong on Magufuli

    Uchambuzi huu bora sana. Hapa suala sio akina Msigwa wala vijana wa Lumumba, hapa tatizo ni sisi wote Watanzania. Economist wanaishambulia nchi yetu, wanamshambulia Rais halafu tunakaa kimya wote waandishi wa habari, wasomi, wachambuzi wa siasa na kila mtu eti tunamsubiri Msigwa na Lumumba. Tena...
  4. K

    Nilichokigundua kuhusu maandamano yenye kauli mbiu ya (Tanzania Revolution)

    Hapa hakuna cha Maandamano. Mimi nachoona kitatokea watu hawataamana na zitatafutwa sababu za kisiasa. Na Tayari Mbowe ameshaanza maigizo eti watu wake wanamuomba atoe ruhusu ya kulianzisha timbwili. Yeye anakataza. Mimi nasema ndugu Mbowe toa ruhusu watu wako wafanye vurugu ili sisi tuone...
  5. K

    Sitasubiri kumpongeza Cyprian Musiba

    *SITASUBIRI KUMPONGEZA CYPRIAN MUSIBA* Febr 25, 2018 Umevunja ukimwa, umefanya vyema. Siku zote historia ni mwalimu mzuri na wahenga walinena aisifiae mvua imemnyea. Naandika kukupongeza Cyprian Musiba kwa kuvunja ukimya. Najua wapo walioanza kukushambulia, najua wameanza kuchimbua mengi...
  6. K

    Ujumbe aliotumiwa Julius Mtatiro

    UJUMBE HUU AUSOME Ndg. JULIUS MTATIRO Na Kalisto Joseph Wewe na kundi la CUF-Maalim Seif umejipa cheo cha Mwenyekiti wa Muda wa CUF. Najua kuna mvutano lakini uwehu unaoufanya mitandaoni nashindwa kuelewa ni Mwenyekiti wa Muda wa CUF au ni Mwenyekiti wa Muda wa kitengo cha instagram...
  7. K

    Waziri Mpango: Ubinafsishaji wa Airtel kutoka TTCL, uligubikwa na ukiukwaji mkubwa wa Sheria, Kanuni na Taratibu

    Ninachompendea JPM ni kufuatilia mambo anayoyaagiza. Jambo analitoa na mnaona mwisho wake. Naiona harufu ya kunufaika kwenye Airtel kama tulivyonufaika kwenye Makinikia. Udumu JPM, polepole utaeleweka tu. Ili mradi unapigania watanzania historia itabaki kuwa mwalimu mzuri hata baada ya...
  8. K

    Watu wa Kurugenzi ya Habari Ikulu hawana uwezo, walilipwa fadhila

    Na mimi nikiwa mwandishi wa habari mwenye weledi nakuona mwandishi wa uzi huu umeongozwa na CHUKI DHIDI YA KURUGENZI YA HABARI YA IKULU. Hoja zako za sifa za ukubwa wa habari unaoifanya ipi itangulie zipo sahihi. Lakini labda nikuulize ukubwa wa habari hutegemea nini? (Zingatia angalau sifa...
  9. K

    Rais Dkt. Magufuli Amtumia Salaam Za Rambirambi Rais Uhuru Kenyatta Wa Kenya Kufuatia Vifo Vya Watu 36 Kwenye Ajali

    mmjawapo = mmojawapo Yewahi? Ulimaanisha nini? Nae ni binadamu kama ulivyo wewe.
  10. K

    Maaskofu mnaoleta siasa madhabahuni kumbukeni busara za mzee Makamba

    MAASKOFU MNAOLETA SIASA MADHABAHUNI KUMBUKENI BUSARA ZA MZEE MAKAMBA. Najiuliza sana hawa Maaskofu wanaotokwa mapovu kumshambulia Rais Magufuli madhabuhini dhamira yao nini? Au nao wanataka kupata ubatizo wa moto kama anavyosema Mzee Yusuf Makamba? Wamegeuza madhabahu kuwa uwanja wa siasa za...
  11. K

    Rais Magufuli awatunuku vyeti wajumbe wa kamati za Makinikia; akanusha taarifa za mapato ya Serikali kupungua

    Msigwa amerekebisha. Ni Shilingi Bilioni 700 sio Dola za Marekani Bilioni 700
Back
Top Bottom