Ondoa akili mgando hizo, Anza kuwekeza Kwa mademu wa umri/rika lako. Unajua mademu wa rika lako waweza kuwa wasumbufu lakini komaa na set akili yako. Usikubali kupelekeshwa na akili.
Nimesoma Stori za kila Aina humu JF lakini nikwambie tu kuwa hii Stori ni the best ever. Ni Stori ambayo kwakweli ilikuwa na msisimko Sana , nimependa Sana jinsi ulivyomaliza Stori hii kibabe Sana.
Kila mmoja ameridhika na Kwa upande wa Sisi wanaume umetuheshimisha Sana kumjaza ujauzito Irene...
Unaonekana unajua Sana kutooombaaaana njoo imbobo tuyajenge basi nikumbushie umaridadi wangu Yani mwendo wa dakika 50 nonstop
Sent from my Redmi 7 using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.