Na utakuwa umesahau na mradi wa stand ya mabasi inayojengwa Nyamuhongolo mkoani Mwanza imekwama baada ya mkandaeasi kutopewa pesa ya kuendeshea mradi sasa amepunguza asilimia 94% ya vibarua na mafundi pamoja na wafanyakazi wengine kama Technician na operetors kwa hiyo hali ni mbaya jamani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.