Recent content by kayreen

  1. K

    JamiiForums Tanzania Gharama za kupanga nyumba za NHC zikoje?

    nauliza bei ya kupanga nyumba ya NHc makaz ya kuishi ni sh ngapi
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Mirija ya Uzazi kuziba: Changamoto na tiba yake

    nami nina tatizo kama lako nimeshawaza mpaka nimechoka
  3. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mrija wa uzazi ukuwa 'mild' kuna uwezekano wa kupata mtoto?

    kuzibua kupo ni unazibuliwa na oparesheni.na kufanikiwa kwenye kuzibua ni asilia 10..doctor hakushauri oparesheni
  4. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mrija wa uzazi ukuwa 'mild' kuna uwezekano wa kupata mtoto?

    napata hedhi kama kawaida
  5. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mrija wa uzazi ukuwa 'mild' kuna uwezekano wa kupata mtoto?

    napata kama kawaida
  6. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mrija wa uzazi ukuwa 'mild' kuna uwezekano wa kupata mtoto?

    cjawah kutumia njia ya uzaz wa mpango..cjawai pata wala toa mimba kifupi cjui mimba nini tangu kukua kwangu mpaka hvi leo ninamiaka 30.nimeshalia mpaka basi.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mrija wa uzazi ukuwa 'mild' kuna uwezekano wa kupata mtoto?

    Jamani mimi ninatatizo la uzazi, mirija ya uzazi imeziba siwezi kupata mtoto. Ndoa yangu ipo matatani, daktari amesema mrija mmoja umeziba na mwingine ni mild. Amenipa dawa nitumie kwa miezi sita, kwa matazamio nauliza mrija ukiwa mild kuna uwezekano wa kupona?
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mambo 30 usiyoyajua kuhusu utapeli wa Q-Net (Network Marketing)

    du utajili upo nimeshuhudia ila unatakiwa upambane sana
  9. K

    JamiiForums Tanzania helo

    nauliza kama kuna starlet ya milion 2 naweza pata
  10. K

    JamiiForums Tanzania helo

    kayreen naitwa
Back
Top Bottom