Recent content by Kayombe Lyoba

  1. K

    Udom

    Jmani mi nadhani tuwe na imani tu na UDOM kama wasingekua wawazi nadhani wasingeita watu kufanya kazi,mvumilivu cku zote ndo hula mbivu
  2. K

    Udom

    Jamani hawa udom vipi?mbona wanachukua muda mrefu?mwenye data embu tujuzane jamani
  3. K

    Jinsi au namna ya kumtambua Binti mdogo aliekwisha anza Jigijigi .

    Nyie wote hamjui,hapo ni kbur tu na kuona kila kidume kama kidume chake kipya
  4. K

    Udom

    Jaman hata mimi nlfanya inter hapo toka december 15 mpaka leo,embu 2juzane akina nani wa kada zp wameitwa?
  5. K

    Je, Nape Nnauye anapinga kila kitu cha Chadema?

    nyie wote mnakosea sana,who is nape by the way?ni m2 alieteuliwa tu!
Back
Top Bottom