Recent content by kayogo

  1. K

    JamiiForums Tanzania Serikali kukosa mchango wa dawa toka USAID

    Hii kitu itaadimika kama sukari sasa [emoji119]
  2. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta shule za English Medium Tabora

    1.St. Francis 2. Temi hill 3. Westlands Hizo ni best
  3. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ateua Wakuu wa Mikoa, Makonda apangiwa Dar

    Kuweka Kumbukumbu Sawa, Kateua Mwanamke Mmoja Anna Kilango! Hao Wengine Wanaendelea Na Nafasi Zao, Uteuzi Wa Jk
  4. K

    JamiiForums Tanzania Lowassa awasili Zanzibar; Mamia wajitokeza kumpokea usiku huu!

    Salut kwako kampala
  5. K

    JamiiForums Tanzania William Ngeleja atangaza nia ya Urais kutoka viwanja vya BOT jijini Mwanza

    Maswali ya Hawa waandishi!!!! Maswali magumu hv kwenye sendoff Wametumwa?
  6. K

    JamiiForums Tanzania William Ngeleja atangaza nia ya Urais kutoka viwanja vya BOT jijini Mwanza

    Tanesco wameamua kumkumbusha enzi zake wamekata umeme
  7. K

    JamiiForums Tanzania William Ngeleja atangaza nia ya Urais kutoka viwanja vya BOT jijini Mwanza

    Mnao angalia live umeme umekatika !!!! Hapa ukumbini standby generator limewaka ila star tv hawaja kaa sawa. Muda huu aaongea chief Kafipa
  8. K

    JamiiForums Tanzania William Ngeleja atangaza nia ya Urais kutoka viwanja vya BOT jijini Mwanza

    Sasa ulitaka waje kwa ngamia kutoka Sengerema?
  9. K

    JamiiForums Tanzania William Ngeleja atangaza nia ya Urais kutoka viwanja vya BOT jijini Mwanza

    Kaulimbiu kwenye mabango yake hapa ukumbini ni ... "MAONO SAHIHI, MIKAKATI TULIVU, MATOKEO HALISI" MMM
  10. K

    JamiiForums Tanzania William Ngeleja atangaza nia ya Urais kutoka viwanja vya BOT jijini Mwanza

    Mtangazania wakili Msomi William Ngeleja keshaingia ukumbini, akiambatana na mkewe na binti yake, pamoja na mpambe wake wa karibu Dr. Festus Limbu, mbunge wa Magu. Meza kuu pia amekaa chief mkuu wa Wasukuma, mzee Kafipa na mwenyekiti wa wazee mkoa wa Mwanza, mzee Masalakulangwa. Matangazo...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Uyui adaiwa kulawiti

    Mbona huyu mussa ntimizi ni shoga mzoefu, atakuwa katengeneza story aonekane nae mzima
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Nkenge Assumpter Mushama, fedha zetu ziko wapi?

    Mchungaji Assumpter shunju mshama 2010 ndie mbunge alie chaguliwa kwa kura nyingi kuliko wabunge wote Tanzania alipata 94.6% ya kura zote.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Ujuha wa katibu CHADEMA waipitisha CCM bila kupingwa mitaa na vijiji 100 Same Magharibi

    Hahaha kumbe ni mbinu ya medani
  14. K

    JamiiForums Tanzania Shibuda amtaka waziri mkuu mh. Pinda kujiuzulu

    Apigwe tu
  15. K

    JamiiForums Tanzania Wakili wa ESCROW, Gabriel Mnyele aliyetuhumiwa kumuua mkewe ashinda rufaa

    Tuesday, December 28, 2010 9:48 PM Mnyele alifutiwa adhabu hiyo mbele ya Jopo la Majaji watatu wa Mahakama ya Rufaa Jaji Salum Massati, Mbarouk Mbarouk na Benard Luanda baada ya kutengua hukumu ya Mahakama Kuu juzi. Mahakama ilifuta hukumu hiyo baada ya kuridhika na utetezi wa mawakili wa...
Back
Top Bottom